Notification texts go here Contact Us Buy Now!

HALIMA SEHEMU YA 02

HALIMA

                          SEHEMU YA 2 

                           WHATSAPP 0655585220 

 Tunaanza ilipoishia.
  Hebu subiri hapo ilikua nisauti ya mwalimu Abdull...na nyngine ilikua ni ya mwalimu bi Aisha..
   Halima alishaangaa na kuanza kujiuliza kimoyomoyo ..ivi wanataka nini hawa..
  Wote walifika alipo simama Halima.kilammoja alitamani aongee na Halima wakiwa pekeao hivyo bi Aisha alimuambia mwalimu Abdull aongee halafu akimaliza amuambie ili na yeye apate muda wa kuongea na Halima.
  Bila kupoteza muda mwalim Abdull aliamua kutoa sera zake..
   Halima nikwambie kitu...Mw Abdull alianzisha mchezo.
  Yes niambie haraka nachelewa...naomba Halima alijibu kwa dharau..kitu kilichomkatisha tamaaa mwalimu Abdull.
   Dah!kama unachelewa basi naomba unipe no yako ya simu nitakutafuta baadae..mwalimu Abdull aliamua kukatisha mchezo..
   "Ivi wewe mwalimu unaakili kweli au umeshalogwa..Halima alianza kumpa makavu mwalimu Abdull.
  "Wewe mwalimu nzima lakini umekaa kishamba shamba tu..jiangalie juu mpaka chini wewe ni wakukupa namba yangu..jee ni yanini hebu niambie.na ukirejea tena kuniomba namba ya simu darasa zima na shule mzima itajua kama mimi ni waaina gani sawa..
  kwa heri..iliaga na kuanza kutembea huku sketi yake ya kitambaa cha mpira ikimbiringishika kwa mwendo wa kuchezesha kiuno..
   Wakati anaondo Mwalimu Abdull alipigwa na bumbuwazi...asijue nini lakufanya na taratibu alirejea ofisini.
  Kutokana na mughumi alokua nao na mawazo kichwani kwake alishindwa hata ni kumjibu mwalimu bi Aisha kwamba tayari alishamaliziana na Halima.
  Halima aliingia darasani na kuendelea na majukumu mengine..lakini moyo wake wote ulikuwa unashughulika na Hassan..alijisemea moyoni mwake ..jee nitaanzaje anzaje kumteka Hassan katika moyo wangu..au nimtamkie dhahir watu wote wajue..dah kama ni mtihani basi huu ndio mgumu..maneno hayo ni ya halima alikua akijiwaziya.
   Upande wa pili nako mambo yalikua moto kwani mwalimu bi Aisha licha ya umri kuwa mkubwa kwa Hassan lakini alisha zama katika moyo wa Hassan...alijiuliza ivi Halima na Hassan niwapenzi au vp...alitamani arudi tena darasani ili aongee na Hassan..lakini nafsi ilimsuta...aliwaza na kuwazua mwisho uvumilivu ulimshinda aliamua leo leo amwite Hassan ili amuambie ukweli kwamba anampenda....mara alikumbuka kwamba ilikua amepanga kuongea na Halima...Bi Aisha alitoka nje ya ofisi kuangalia jee Halima anamsubiri au vp..cha ajabu hakuwepo Halima wala mwalimu Abdull ktk eneo alilo waacha kitu kilichompa mshangao Mwalimu Bi Aisha.
  "Waimeendea wapi hawa au mwalimu Abdull kesha jibebea zigo lile..maanake hachelewi kutongoza wanafunzi mwalimu huyu"mwalimu bi Aisha alijisemea peke ake..Lakini mara akamuona akamuona mwalimu Abdull anatoka ofisini huku akiwa eweka mkoba wake mgongoni na helment mkonono akiashiria wazi anaenda zake.
    Vp mwalim mbona unaondoka mapema..au unapromiss na yule bint...mwalimu Bi Aisha alimuuliza mwalim Abdull.
  Chaajabu Mwalim Abdull hakujibu kitu chochote alibaki kama bubu tu..
    Mwalimu bi.Aisha  alishangaa sana kuona mwalimu mwenzake yupo katika hali ile...lakini ukweli ni kuwa mwalimu Abdull maneno alo ambiwa na Halima yamempata.alijiskia mnyonge...ajiskia kichwa kina muuma...aliwaza jee Halima atampataje.?
     Mwalimu Abdull alipanda pikipiki yake nataratibu aliondoka shule huku kichwani akiwa na msongo wa mawazo...
Mwalimu bi Aisha nae alirudi ofisini huku na yeye kichwani akiwa na suali moja tu jee atampataje Hassan.
 ....Halima akiwa amekaa na shoga yake Asia darasani alitamani asogee alipokaa Hassan lakini akikumbuka kituko alicho kifanya cha kumpa denda wakati mwalimu yumo darasani alijiskia aibu....
    Alimshauri shoga yake ili aende akampeleke lilipo dawati la Hassan ili akamuombe radhi...
   Asiali alimkubalia na taratibu walisogea alipoketi Hassan ambaye alikua bize na kusoma..
   Asalam alykum Hassan.Asia alitoa salam kumpatia Hassan..
  Waalykum salam hamjambo..Hassan alijibu.
Hatujambo...waliitikia wote wawili..
    Baadae Halima alimbania jicho Asia ili awaache waaongee na Hassan..Asia alifahamu na alizuga taratibu aliondoka...
   Huku akiwa anatafuna kucha zake mrembo Halima aliaza kuomba msamaha..
    HASSAN naomba unisame my..Halima alimuambia Hassan.
  Nimekusamehe sawa lakini siku yapili usirudie sipendi mimi mambo hayo..Hassan alijibu.
  Ahsante nashkuru..Halima aliitikia na yeye..
  Baadae kimya kilitawala huku Halima akiwa anatafuna kucha zake.huku machozi yanamwagika....mawazo yalimpeleka mbali..alikumbuka kipande fulan cha move ya titanic...
    moyoni alijiimbia nyimbo ya celina dion .....
"""moyo wake ulijiimbia na kujikuta yupo katika furaha ya moyo..dah mapenzi jamani sio mchezo...
Halima aliimba kimoyo moyo...
   """Every night in my dreams
I see you, I hear you
That is how I know you go on
Far across the distance

And spaces between us
You have come to show you go on
Near, far, wherever you are
I believe that the heart does go on
Once more you open the door

And you're here in my heart
And my heart will go on and on
Love can touch us one time
And last for a lifetime
And never let go till we're gone
Love was when I loved you
One true time I hold to
In my life we'll always go on
Near, far, wherever you are
I believe that the heart does go on
Once more you open the door
And you're here in my heart

And my heart will go on ...
  Mwisho Hassan aligundua kwamba Halima ilikua analia...
   Halima....Halima....vipi mbona unalia...Hassan aliuliza kwa upoleee..
  ....na....na....na...nakupenda Hassan....Halima uvumilivu ulimshinda alimtamkia maneno hayo Hassan...tobaaaaaa.    Hassan alibaki ameganda tu asijui nini chakujibu..
   Mara Mwalimu bi Aisha aliingia darasani kwani nae uvumilivu ulimshinda na kuamua moja kwa moja aje darasani kumuona Hassan....
    Alipo ingia tu....Hakuamini macho yake...
JEE UNAFIKIRI NINI KILIENDELEA....USIKOSE KUNIFATILIA KATIKA EPSODE YA 3

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.