KAZI NYINGI MUDA NI MFUPI DADAAAAA SOMAAAA IYOOOO TAMAA YA WANAUME WENGI YA KUTOKUTULIA NA WAKE ZAO NI HIVI MACHINE ILE ILE JE? UNACHOFUATA KWA MWANAMKE WA NJE NI NINI HASA ETI MA KWANINI MUME ALIYEOA ANAPENDWA SANA WADADA KULIKO YULE SINGLE NA HUYU MKE ALIEOLEWA ANAPENDWA SANA NA WANAUME JE? KUNA NINI HAPA KATI KATI JAMANI NI TAMAA AKILI YA MWANAMKE NI KAMA MTOTO MDOGO NAKUAMBIA WW BINTI HUWEZI SHINDANA NA MWANAUME HATA SIKU MOJA MIGUU UPANUE WW SHIDA UNALETEA TAIFA NI UPUMBAVU NA UJUHA CHANZO CHA WATOTO WA MITAANI NI NYIE WADADA WAPENDA VYA DEZO UKITIZAMA MIMBA NYINGI NI ZA CHIPSI MAYAI KUKU NATUPUU KITU CHOCHOTE CHA BURE MWISHO WAKE NI HASARA TUPUUENDELEA KUPANUA MIGUU NA KUKAMATA CHUPI MKONONI UTAPATA TABU SANA NDO MAANA HAMUOLEKI MMEJAA UNAAMBIWA NYIE MABINTI MPO BILIONI 5 WANAUME BILIONI 2 TU JITAFAKARI NDO MAANA HAMUOLEKI MMEKAA KIBIASHARA ZAUDI WANAUME WAJANJA WANAGONGA WANASEPA WANAKUONA CHEAP TU MPUMBAVU WA NASEMA HIVI 100% YA WANAUME NI MATAPELI NA 100% YA WANAWAKE PIA NI MATAPELI USIMUAMINI MWANAMKE YOYOTE YULE ATAKAMA UMEFUNGA NAE NDOA NA USIMUANI MWANAUME HATA KAMA UMAEFUNGA NAE NDOA NI HATARI KWA AFYA YAKO AISEE ISHI NAE KISTANDARD USIMPEENDE KANA KWAMBA NI MUNGU WAKO KADHA WA KADHA NDOA NYINGI SASA HIVI ZINA UTAPIAMULO WA AKILI TAFAUTI NA BABU ZETU TAKE CARE HUWEZI NDOA KUWA SINGLE TU NA NYIE MNAOTAFUTA WANAUME KWA WAGANGA MTAPATA TABU SANA NA NYIE WA LAKI SIO PESAA MTAPATA TABU SANA PIAA NDOA SIO LEMAMA EWE BINTI POPOTE ULIPO TAKO AU CHURA NZURI SIO MTAJI MKUBWA WA KUOLEWA BALI TABIA YAKO NJEMA KABSA NDO MTAJI WA KUOLEWA VINGINGINEVYO UTAGONGWA TU NA KUTIWA MIMBA ISIYO NA BABA WALA NN NI FUJO TUPU AFU PIA USHINDANE NA MWANAUME NAKUAMBIA MWANAUME NI MWANAUME TU ASIKUAMBIE MTU AISEE UKIZUBAA UTAGONGWA VIZURI TU CHALI OHOO WANAUME WABAYA ALIYEKUAMBIA UVUE CHUPI HUKUJUA KAMA MBAYA AU MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA AISEE KUWA NA ADABU HATA KAMA UNATAKO KAMA MLIMA KILIMANJARO UTAKUWA CHINI YA MWANAUME PIGA UA PICHA HAPO CHINI HAVIHUSIANI NA MAANDIKO HAYA MABINTI WENGI SAIVI WANASHOBOKA NA KUJIEGESHA KWA WANAUME KUPATA NAFUU YA MAISHA OHOOOO UNAPOTEA BINTI NDOA YOYOTE ILE IKIENDESHWA KWA UMBEYA ITAVUNJIKA KWA UMBEYA AISEE SIKU ZOTE UKILA PESA YA MWANAUME MALIPO YAKE NI KUPANUA MIGUU TU NOW KWA UCHUMI HUU MABINTI WANAPANUA MIGUU KWELI AISEE LOH! SHIDA HIZI DAH HATARI SANA WENGI WAMEOLEWA KWA TAMAA ZA MAISHA BORA HALI DUNI NK SO KUWA MAKINI BINTI UTACHUKIA WANAUME KUMBE MPUMBAVU NI WW Dharau nk KIJANA, MWAJIRIWA, MWANACHUO UNAYEJITAMBUA. SOMA HAPA,,
Usishangae mwez februari ndo unaisha hivyo hadi sasa hauna biashara inayokupatia kitu cha ziada nje ya kula na kodi ya chumba. Aisee haukuletwa duniani ili uje kupambania kula. Huwa nasema hiki kitu, hautoweza kukua kiuchumi kama haujaamua kufanya maamuzi tofauti na ulivyozoea.
Changamoto zipo na zitaendelea kuwepo kila mwezi, usipokuwa makini huu mwaka utakupita kama ilivyokupita miaka mingine. Hakuna mtu atayekusisitiza chochote hadi pale akili yako itapoamua. Utasogeza mbele malengo hadi uzeeni.
Kama wewe hauna ajira ifanye biashara kwa usirias kama sehem ya ajira yako itakulipa vzuri.
Kama wewe mwanachuo , tumia mkopo wako kuwekeza kwenye biashara, utakuja kujua umuhim wa hayo maamuz ukishamaliza chuo. Umuhim wa hilo bumu utaujua utavyoingia mtaani, utajuta kutowekeza kwenye biashara. Jaribu kuwauliza waliokutangulia wakusimulie maisha yalivyo acha kujidanganya kwa muda mfupi wa mapito ya chuo. Kama unashindwa kuiandaa future yako soon baada ya kumaliza chuo.Je! unafikiri utaweza kuijenga future ya maisha ya mbeleni?
Kama wewe ni mwajiriwa, ujiendekeze madeni utakufa maskini. Unakuwa na madeni mengi sababu hauna project nyengine nje ya ajira yako. Na hii tabia uliijenga chuoni haukuwa na time ya kufanya mradi mwingine zaidi ya kujisomea ili upate marks nzuri darasani. Pasipokujua kama muda ulikuwanao lakini uliendekeza ubize usio na ulazima. Sasa hauna maarifa mengine nje ya ajira uliyosomea. Na madeni yanakusulubu. Badilika,,,,
Usipoamua kuwa tofauti kuanzia sasa, usipoamua kuacha kutanguliza changamoto mbele mbele hautobadilika kwa lolote. Utakula, utavaa, utalala kama wafanyavyo wengine, lakin maendeleo utayaona kwenye 3, usaidiwe mapema. *Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za kukufanya usurvive. Sahau kuhusu watoto, na mama yao kwamba watakutunza. Wewe ndiye stranger pekee kwenye hiyo familia unayoiita ya kwako. Hiyo nyumba ni ya huyo mwanamke na watoto wake. Not yours.!*
*Babu yangu aliniambia kwamba mwanaume aliyeoa ni sawa Tingatinga, ambalo linatengeneza Barabara, lakini ikishakamilika linabebwa juu juu kwenye Lori na kuondolewa, eti likitembea litaharibu barabara. Yani barabara ambayo Tingatinga lenyewe limeitengeneza haliruhusiwi kutembea juu yake.*
*Vivyo hivyo kwa mwanaume aliyeoa. Atajinyima, atajishughulisha, atajizuia kufanya anasa, atakopa, atavaa mitumba ili tu watoto wake waishi vizuri, wale vizuri na kusoma shule nzuri. Siku hizi urithi pekee uliobaki ni elimu bora coz mashamba ziliishaga. Lakini pamoja na yote hayo, bado ukizeeka hao watoto sio wako, ni wa mama yao. Wewe watakuita "Kamzee".*
*Watoto wakiwa na umri wa miaka 10 ndipo mama yao anaanza kuwajaza taarifa zisizovutia kuhusu wewe. Kadri wanavyokuwa ndivyo wanavyoelezwa mambo mengi. Wakifika utu uzima atawaambia "isingekua mimi hamgesoma, yeye alikua ni pombe tu na wanawake" Ukisikia hivyo ujue tingatinga limemaliza kazi yake sasa linakaribia kuondolewa barabarani.*
*Watoto wanapoanza kazi, mzee anakua amestaafu. Wanapokuja kutembelea wazazi, wakiondoka wanampa baba elfu 5 mbele ya mama. Halafu wanaenda jikoni na mama, wanampa hela kwa siri bila mzee kujua. Wakiondoka mama anamfuata mzee na kumwambia sukari imeisha. So ni suala la mzee kuamua kutoa ile elfu 5 aliyoachiwa na watoto ikanunue sukari, otherwise anywe chai isiyo na sukari. Hii ni moja ya sababu inayowafanya wazee kufa mapema baada ya kustaafu na kuacha wake zao Wajane.*
*Nimeshuhudia wazazi wenye watoto ng'ambo wakimchukua mama yao akaenjoy life majuu, na kumuacha baba yao nyumbani akilisha Ng'ombe wao wawili, na kutafuta chakula cha kuku.!*
*Wanaume work hard and save something for yourself at old age. Tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka dont expect too much from them. Enjoy maisha ya uzee kwa pesa zako mwenyewe ulizochuma ujanani.*
*"Hii ni siri nimeifuma mahali niwarushie nyinyi wanaume wenzang"*