Kaka naomba unisaidie kwani mimi mwenyewe siwezi, Mimi ni Mama wa miaka 37, nimeolewa na ndoa yangu ina miaka 15 sasa, nina watoto watatu na mkubwa ni wakike ana miaka 14 yuko kidato cha kwanza. Mume wangu alikua na tabia ya kutembea na mabinti wa kazi, kila nikileta binti wa kazi mume wangu anatembea naye, nilishaongea na kuchoka mpaka nikaamua kuacha kazi ili kufanya kazi zangu mwenyewe na si kuajiri binti wa kazi.
Mambo yalitulia kidogo, nimeishi mwenyewe bila binti wa kazi kwa miaka 7 sasa nikilea wanangu, nilikua sijawahi kumfumania mume wangu na kila kitu kilikua kinaenda sawa, nilikua na amani na kumshukuru Mungu kwa hilo. Lakini mwezi mmoja uliopita kuna mtoto wa Dada yangu alikuja kunisalimia, ni binti mdogo tu wa miaka kumi. Alikaa kwangu kwa siku kama tano hivi, siku moja nimetoka nilirudi nakukuta wanapigana na binti yangu mkubwa wa miaka 14.
Walikua wanapigana sana wakitukanana na kuitana Malaya, kwanza nilishangaa kwani yalikua ni maneno makubwa makubwa, niliwakalisha chini na kuwauliza. Binti yangu alilazimisha kuwa hamtaki pale nyumbani, nilipomuuliza sababu alikataa kuniambia, lakinia linuna sana, nilimuita Dada ili kuongea na mwanae amuambie kilichotokea lakini bado aligoma. Alipogoma sikumfukuza, nilimuambia abaki ingawa mwanangu alikasirika lakini nilimuambia yule ni mdogo wake kwani hata nikifa mimi atalelewa na Dada yangu.
Lakini usiku binti yangu akiwa kakasirika aliniambia yule mtoto wa dada ni lazima kuondoka kwakua anatembea na Baba yake, nilishtuka sana lakini kutokana na tabia za nyuma za mume wangu nilihisi kitu. bila kusema nilitaka kumfukuza yule binti, nilimuambia arudi kwao, sikutaka hata kuuliza kama ni kweli au la kwani niliogopa jibu lake. Lakini wakati anajiandaa kuondoka kale katoto kaliniambia “Unamsikiliza huyo, mtu anakuchukulia mume wako bado unamsikiliza kwa taarifa yako yeye anafanywa mpaka nyuma mimi bado sijafanywa ila napendwa ndiyo napewa zawadi nyingi zaidi.”
Nilishituka na kumuuliza alikua anamaanisha nini, kwa hasira aliniambia kuwa walikua wanapigania mwanaume na mwanaume mwenyewe ni mume wangu yaani Baba mzazi wa binti yangu, aliniambia kuwa yeye alipokuja mume wangu alimtongoza na alikua anampa pesa ila binti yangu aliona wivu kwakua yeye ni mdogo na anapendwa sana. Anajua kuwa anatembea na Baba yake na anafanyiwa nyuma, nilipaniki, nilichanganyikiwa, hata nguvu za kumfukuza zilimuishia, niliamua kurudi kwa binti yangu na kumuuliza, mwanzo alikataa lakini nilipomtishia Polisi alikubali.
Aliniambia kuwa anaomba msamaha kwani hakupanga kutembea na Baba yake ila alimdanganya. Kumbe Baba yake alianza naye mapenzi nilipofukuza tu mfanyakazi wa mwisho, kipindi hicho mwanangu akiwa na miaka saba tu. Alikua akimdanganya na vizawadizawadi na kumuambia kuwa anamfundisha maisha, wameendelea hivyo na sasa wanafanya kinyume na maumbile na ashazoea. Alinielezea madudu mengi ambayo anafanya na Baba yake, kweli nilichanganyikiwa.
Nilimpagua na kukuta huko nyuma ni kama kumeoza kuna mapele, michubuko mingi na haikuhitaji daktari kujua kuwa anatumika. Jioni mume wangu nilimuuliza lakini hakunijibu, alikaa tu kimya, nilishindwa kuvumilia nikampigia simu Mama yangu mzazi, nilimuelezea kila kitu. lakini hakua na jibu aliishia kuniambia tu kuwa ongea na mume wako ilia kuombe msamaha yaishe nisitangaze na kufaidisha ulimwengu kwani kama ni makosa yashatokea.
Baada ya kumsikiliza Mama nilikosa hata nguvu za kumshirikisha mtu mwingine. Nimekaa na hiki kitu kwa muda wote huu, sijamuambia mtu nahisi kupasuka, sina kazi hivyo namtegemea huyu mwanaume kwa kila kitu kuanzia chakula mpaka Pedi, ndugu zangu wenyewe wanamtegemea hivyo siwezi hata kushitaki na sijui chakufanya ni nini? Kaka sijui hata nianzie wapi kuomba ushauri, nisaidieni kwani nashindwa kumuangalia mume wangu usoni ila yeye anafanya kama vile hakuna kitu kilichotokea. Niko njiapanda kwakweli naomba msaada wenu?