Notification texts go here Contact Us Buy Now!

AISIIIII……….U KILL ME 07, 08, 09 & 10

AISIIIII……….U KILL ME 07

ILIPOISHIA
“Afande ninaomba nimpigie mwanasheria wangu aje kituoni?”
Nilizungumza tukiwa njiani. Askari huyo hakuweza kunijibu chochote zaidi ya kunikata jicho baya. Tukafika kituo cha polisi. Wakanifungua pingu, wakaniamuru kuvua mkanda, viatu, kutoa waleti mfukoni. Nikafanya hivyo kitu lilicho mstusha askari aliye kuwa akinipapasa ni bastola yangu niliyo kuwa nimeichomeka kiunoni.
“Jamani huyu ni jambazi”
Askari huyo aliuzungumza kwa sauti ya juu na kuwafanya askari wengine wote kituoni kunitazama mimi huku wengine walio na bunduki kuninyooshea mimi, huku wakiniamuru kunyoosha mikono juu kwa ukali sana.
ENDELEA
Nikafwata kama wanavyo hitaji, nikainyoosha mikono yangu juu huku nikimtazama askari aliye nichomoa bastola yangu.
“Piga magoti wewe mjinga”
Askari mwengine alisisitiza kwa sauti ya ukali, taratibu nikapiga magoti. Askari huyo akachuka waleti yangu na kuifungua, akaanza kuikagua vitambulisho vyangu. Nikamuona akistuka baada ya kutoa kitambulisho changu cha kazi. Akanitazama mara mbili mbili huku macho yakimtoka na jasho likimwagika.
“Kuna nini kinacho endelea hapa”
Nilisikia sauti ya kike, nyuma yangu. Ikanibidi kugeuka na kumkuta mkuu wa polisi ambaye ninamtambua ni rafiki wakaribu sana na K2 na mara nyingi niliweza kumuona akija ofisini kwetu.
“Mkuu kuna huyu kijana alifanya fujo, ndio tumemleta hapa kituoni”
Mwanamama huyo mrefu kwenda juu, aliye valia suruali ya kaki pamoja na shati la kaki, lenye nyota kadhaa kwenye bega lake, akazunguka na kuja kusimama mbele yangu.
“Mumegundua nini?”
Alimuuliza askari aliye shika kitambulisho changu. Askari huyo akaonekana kupata kigugumizi na kujikuta mkuu wake akikichukua kitambulisho hicho na kukikoma. Akanitazama kwa haraka kisha akayarudisha macho yake kwenye kitambulisho hicho.
“Nani aliwapa oda ya kwenda kumkamata?”
Askari wote wakaka kimya. Kila mmoja alimtazama mwenzake, mwanamama huyo kwa ishara akaniomba ninyanyuke juu. Nikannyanyuka na kuwafanya askari wote kuduwaa.
“Mrudishieni kila kitu chake, unatoa toa macho ya nini?”
Askari aliye chukua waleti na bastola yangu, akanirudishia huku mwili mzima ukimtemeka. Sikulijali juu ya woga nikachukua kila kitu changu, nikavaa mkanda pamoja na viatu vyangu.
“Samahani kijana, naomba tukayazungumze ofisini kwangu”
Mwana mama huyo alizungumza huku akinitazama. Nilipo maliza kufunga kamba za viatu vyangu, nikaongozana naye hadi kwenye ofisi yake iliyopo gorofani. Akanikaribisha kwenye kiti kilichopo mbele ya meza yake kisha yeye akaka kwenye kiti kilichopo nyuma ya meza yake hiyo yenye mafaili mengi pamoja na meza ya mezani na simu ya upepo.
“Samahani kwa usumbufu wa vijana wangu, naona walikuchukua pasipo kujua kwamba wewe ni nani”
“Kwa hilo halina tabu, ni vyema nikaondoka na kwenda kuripoti kazini kwangu kwamba kazi yangu iliziwa na vijana wako”
“Hapana hapana, wachukulie ni vijana wezako wale. Endapo wataingia kwenye tabu wengine ndio kwanza hata pesa ya serikali hawajaitafuna”
“Kwa hiyo na mimi nikafukuzwe kazi kwa ajili ya vijana wako, unatambua kabisa kazi yangu ilivyo na uhatari wa hali ya juu, ila bado vijana wako wakaamu kuniharibia ndio nini sasa”
Nilizungumza kwa kumkoromea mama huyo baada ya kugundua amingiwa na hofu kidogo.
“Basi ngoja niweza kuzungumza na bosi wako, ili kukukingia kifua, si unajua tena sote sisi ni watumishi wa uma na kazi yetu ni moja”
Mama huyo alizungumza huku akichomoa simu yake aina ya Samsung Galaxy note 3. Akaminya minya baadhi ya namba ambazo sikuziona na kuiweka simu yake sikioni huku akinitazama usoni.
“Shosti vipi?”
“Safi vipi”
Kutokana na simu hiyo kuwa na sauti kubwa kidogo niliweza kuisikia sauti ya K2, nikatamani kumpokonya simu mama huyo ila nikajikuta nikishindwa na kubaki nikiwa nimemkazia macho.
“Safi tu, bwana nina ombi moja”
‘Ombi gani?’
“Kuna kijana wako hapa alikamatwa na vijana wangu akiwa kwenye kazi yake wakidai alifanya vurugu kwenye moja ya ofisi sasa nikaona nikujulishe mapema isije akaja huko ukawajibisha”
‘Anaitwa nani?’
“Anaitwa Daniel Thamson Kajenge”
‘Mmmmm’
“Mbona unaguna sasa?”
‘Hapana, upo naye hapo au amesha ondoka?’
“Nipo naye hapa ofisini kwangu”
‘Hembu mpatie simu’
Mama huyo akanipatia simu yake, taratibu nikaipokea na kuiweka sikioni mwangu.
“Hallo”
“Hivi Dany unachanganyikiwa siku hizi?”
K2 alizungumza kwa ukali na kunifanya nimtazama mama huyo kwa jicho la kuiba nikagundua anayafwatila mazungumzo yangu kwa umakini.
“Hapana mkuu”
“Ni kitu gani kilicho kupeleka huko kituani. Mbona uinafanya kazi zako kipuuzi kama sio professional aliye fuzu mafunzo eheee?”
“Hapana mkuu haito jitokeza tena”
“Au unahisi kukupa kum* yangu ndio kunakufanya uwe unakuwa mbovu kwenye kazi, mbona hapo nyuma ulkuwa unafanya kazi zako kwa umakini eheee?”
K2 alizidi kunifokea hadi mama huyo nikaamini anayasikia mazungumzo hayo. Nikaka kimya kwani sikujua cha kumjibu K2 ambaye tangu asubuhi alisha nivuruga.
“Sasa hiyo ripoti hadi inafika kesho saa moja asubuhi ninaihitaji ofisini kwangu. Sasa wewe kaa kaa na kuwaza kum* na mkund* wangu uone mwisho wake utakuwa ni nini. Utavuna upuuzi wako huo”
Simu ikakatwa, nikaishusha taratibu sikioni mwangu na kumkabidhi mwana mama huyo aliye baki akiwa amenikodolea macho.
“Hivi nilicho kisikia ni kweli au……?”
Mwana mama huyo alizungumza huku akiendelea kunikodolea macho yake. Sikuwa na kitu cha kumjibu zaidi ya kukaa kimya.
“Nakuomba niondoke tafadhali”
“Sawa unaweza kwenda”
Nikanyanyuka na kumuacha mwana mama huyo akinisindikiza kwa macho hadi natoka ofisini mwake. Nikashuka kwenye ngazi na kukutana na askari aliye kuwa akisoma kitambulisho changu cha kazi. Sikumsemesha kitu zaidi ya kumpita. Nikapita mapokezi kila askari akabaki akiwa amenikodolea macho. Moja kwa moja nikatoka kituoni. Kusema kweli akili yangu haikuwaza chohote zaidi ya kurudi nyumbani kwangu.
“Bosi nikupeleke wapi?”
Dereva mmoja wa pikipiki alisimama pembeni yangu huku akinitazama. Taratibu nikajikuta nikipanda pikipiki hiyo.
“Nipeleke Sinza kwa Remy”
“Sawa mkuu”
Dereva huyo mwenye pikipiki aina ya boksa akaanza safari. Hadi tunafika maeneo ya Sinza ndipo nikaanza kumuelekeza hadi mtaa ninao kaa. Nikamlipa kiasi alicho nitajia na kuingia ndani. Nikamkuta Mariam akiwa amekaa kwenye kibaraza anasikiliza miziki kwenye simu yake. Nikampita bila samu, na kwa jinsi shati lango lilivyo katika vifungo nahisi aliweza kujiuliza maswali.
Niakatiza kwenye kordo na kukutana na Asma akiwa anatoka kuoga, huku amejifunga tenga moja tu.
“Dany mambo?”
Asma alinisalimia huku akiwa na tabasamu pana usoni mkwa.
“Poa za kushinda?”
“Salama”
Sikutaka kukenua kenua meno, nikafika mlangoni mwangu. Nikafungua mlango na kuingia, nikaanza kuvua nguo moja baada ya nyingine hadi nikabakiwa na boksa. Nikawasha feni na kujitupa kitandani, kilia nikiwaza jinsi ya kuifanya kazi niliyo pewa na ofisi nikajiona nimevuruga mpangilio mzima.
“Ohooo Mungu wangu nisaidie”
Nilizungumza huku nikiwa nimetizama juu. Sikuwa na jibu la uhakika wa nini nifanye. Mazingira ya chumba changu nilivyo yaacha asubuhi kwa muda huu hayaniridhishi kabisa. Nikaanza kuifanya usafi wa kubadilisha mashuka na kuweka shuka jengine, nilipo maliza hapo nikahamia kwenye kufagi na kufuta futa vumbi kwenye meza ya Tv pamoja na redio yangu. Sikuishia hapo nikavaa pensi na tisheti nikatoka nje nikiwa na ndoo ndogo nikinga maji nusu na kurudi nayo chumbani kwangu na kuanza kudeki kila sehemu.
Nikamaliza kufanya usafi wangu huo, nikachukua nguo zangu zote chafu na kutoka nazo nje, nikiwa nimeziweka kwenye dishi langu. Nikaanza kufua, nikiwa ninaendelea kufua Asma akatoka akiwa amevalia suruali iliyo mbana makalio yake makubwa.
“Nakuona leo umeamua kuwa dobi”
“Yaa kidogo dogo si unajua maisha ya ubachela”
“Kweli ila unabidi ufanya uoe Dany, kazi ndogo ndogo kama hizo za kufua zitakuondokea”
“Ni kweli ila bado nipo nipo kwanza si unajua wanawake wa sanana ni pasua vichwa na wengine hatupendi mambo hayo ya kuumizwa kichwa”
Asma akachukua kidoga kilichopo eno hilo la uwani ambapo kuna jiko la wamama kupikia. Akakaa pembeni ya tanki kubwa la maji lililopo hapa nyumani kwetu.
“Ni kweli, lakini kwa sasa hata wanaume munapasua vichwa. Wanake wanawapenda ila hampendeki sijui kwa nini?”
“Sio wote. Hivi jana ilikuwaje kwa jamaa kwa maana ninaona alitaka kukua?”
“Yaani Dany kaka yangu mimi nimesha jichokea. Mwanaume hapendeki, mwanaume ana wivu nashindwa hata nimfananishe na kitu gani. Yaani unavyo niona hapa hata kwenda kwa majirani hataki. Kila kitu amenunua na kuweka ndani, ni mimi na Tv na Tv na mimi, nikichoke ni kulala tu”
“Kwa nini auakuwa hivyo, hakuamini au?”
“Kigezo chake kwamba mimi ni mzuri kwa hiyo nikitoka nje watu wataniiba”
“Hahaaa sasa jana ilikuwaje hadi akakupiga?”
“Jana unajua kisa cha kupigwa ni kwamba. Tulikuwa tunaangalia myereka ya kina Jonh Cena, sasa mimi nikasema John Cena ni mzuri ana kifua kikubwa, basi hapo ndipo ugomvi ukaanza. Akaanza kuseme ohooo sijui umalaya umezidi hadi ninawasifia wanaume kwenye Tv ohooo kimepanda kimeshuka. Sasa nikawa ninamjibu mwenzangu kama ninamtania kumbe akachukulia serious, ndio akaanza kunipiga na kutaka kunichoma na kisu”
Mazungumza ya Asma yakanifanya nicheke na kujikuta hata mawazo ya kazini kwangu yakikaa pembeni kwa maana kwatika maisha yangu sikuwahi kuona wivu wa namna hiyo.
“Yupo wapi sasa mume wako?”
“Kasafiri kaenda Arusha, kapeleka mzigo wa mafuta”
“Mzigo wa mafuta?”
“Ndio mume wangu ni dereva wa magari makubwa yale ya mafuta, siku nyingine hupeleka mafuta Rwanda, Burudi, Congo”
“Ahaaa, sasa jana ulivyo rudi chumbani hakukoroma?”
“Wee ana ubavu, akikoroma tu namwambia ninakuja kukugongea basi anakaa kimya”
Nikamaliza kusuuza nguo zangu, Asma akaniomba kunisaidia kwenda kuzianika. Sikuwa na hiyana nikamuachia kindoo nilicho jaza nguo hizo na mimi nikamalizia kuyafua mashuka yangu.
“Asante mwaya”
“Usijali kaka yangu, sasa ngoja mimi niandae chakula cha usiku”
“Nihesabu basi”
“Usijali, ila unakula ndizi nyama wewe”
“Ahaa hapo mbona umenifikisha”
“Basi ngoja niandae chap chap, si unajua muda umesonga”
“Poa”
Asma akaondoka na kuniacha nikiwa ninasuuza mashuka yangu. Nikamaliza shuhuli hiyo na kuzunguka nyuma ya nyumba kwneye kamba za kuanikia nguo, nikaanika mashuka yangu na kurudi sehemu nilipo kuwa ninafulia. Nikamwaga maji ya mapovu chooni na kuanza kuyasuuza mabeseni hayo.
“Nani amemwaga maji ya mapovu chooni?”
Mariam alizungumza huku akinitazama usoni, tambambua analifahamu jibu lake, ila anatafuta mbinu za kuzungumza na mimi. Sikujibu chochote zaidi ya kubeba mabeseni yangu yote na kurudi nayo chumbani kwangu. Nikayaweka chini ya uvungu na kujitupa kwenye sofa.
“K2 mamae ipo siku nitakuonyesha kwamba mimi mtoto wa mbwa”
Nilijikuta nikizungumza mazungumzo hayo huku nikikagua namba zilizo piga kwenye simu yangu kipindi nikiwa nipo nje ninafua, na namba ya K2 ni moja wapo.
‘Huyu ataniletea chakula kweli, au ana nizingua?’
Nilijiuliza swali hilo huku nikiwasha Tv kufwatilia taarifa ya habari ya saa mbili usiku inayo rushwa na kituo cha ITV.
Hadi taarifa ya habari inamalizika saa tatu kasoro Asma hakuleta chakula chochote. Nikataka kunyanyuka kwenye sofa ili nijiandae kwenda kununua chakula ila, mlango wangu ukagongwa.
“Nani?”
“Mimi”
Nikasikia sauti ya Asma, kwa haraka nikanyuka na kwenda kufungua mlango. Nikamkuta akiwa amesimama huku mkononi mwake ameshika ‘hotpot’ kubwa pamoja na sahani isiyo na chakula.
“Karibu ndani, si vyema kupeana chakula mlangoni”
Asma akatabasamu na kuingia ndani. Moja kwa moja akaelekea mezani na kuweka ‘hotpot’ hilo mezani pamoja na sahani hiyo.
“Chumba chako umekipangilia vizuri, unaweza kusema unaishi na mwanamke”
“Unajua usafi mimi nilifundishwa tangu kipindi nipo sekondari ya bodi, kwa hiyo nimekulia kwenye mazingira ya usafi safi hadi hapa nilipo”
“Kweli Dany, kuna waaume ukiingia vyumba vyao utatamani kukimbia kwa manaa vimepangiliwa vibaya kama stoo”
Asma alizungumza huku akipakua chakula hicho, kinacho nukia vizuri hadi nikajikuta utumbo wangu ukitetemeka kwa njaa na hamu ya kula chakula hicho.
“Oooho nimesahau kijiko”
“Usijali kijiko ninavyo”
“Umeviweka wapi?”
Nikamuenyesha kiji trei cha kuwekea vyombo, akachukua kijiko kimoja na kuja kukiweka kwenye sahani ya chakula. Kabla hatujazungumza chochote sote wawili tukaisikia sauti ya Jumaa huko nje.
“Mariam umemuona wapo Asma?”
Nikamuona Asma akihisi kuishiwa nguvu, kutoka chumbani kwangu akwa anatamani kutoka ila anashindwa atatoka vipi kwa maana chumba change ndio cha kwanza kabisa kwa upande wa uwani isitoshe endpo atatoka na kukutana na mume wake basi inaweza kuzuka kesi nyingine ya kufikiriana vibaya.

*AISHII... U KILL...  ME*

SEHEM YA 8

“Nini tena mbona unanizuia?”
Mariam alizungumza huku akitabasamu, nikamtazama Mariam usoni mwake, nikazidi kugundua mambo mengi sana, hususani wa uzuri wake.
“Aaaha….hakuna kitu”
“Haya niachie nikaichenchi kwanza”
“Unajua zinapo chechiwa?”
“Ndio nachukua bodaboda hadi Mlimani City”
“Ahaaa sawa niletee zawadi basi?”
“Unataka zawadi gani?”
“Yoyote”
“Yoyote kweli?”
“Ndio”
“Sawa ngoja niende”
Nikamuachia Mariam, aliye anza kunipagawisha, akatoka chumbani kwangu na kuufunga mlango. Nikawasha feni langu na kupanda kitandani. Kila nilipo jaribu kuyafumba macho yangu, picha ya Mariam ikanijia kichwani na kukumbuka busu alilo nipatia.
“Huyu mtoto ana nini?”
Nilijiuliza huku nikijigeuza geuza kitandani kwa maana sio kawaida ya mimi kuweza kupagawishwa na busu tu, tena la msichana kama Mariam ambaye anaishi maisha ya kawaida tu. Kila nilipo jaribu kulala sikuweza mwisho nikaamua kunyanyuka kitandani na kusha tv kufwatilia mechi za mpira zinazo onyeshwa kila mwisho wa wiki.
Masaa yakazidi kwenda na kukatika. Hadi inatimu saa tatu kasoro, ndipo nikakumbuka kwamba sijaweka kitu chochote tumboni mwangu tangu nilipo kula na K2 asubuhi. Nikanyanyuka, nikachukua tisheti yangu kabatini, kabla sijatoka, mlango wangu ukagongwa.
“Nani?”
Sikujibiwa zaidi ya mtu huyo kugonga mlango tena, ikanibidi kupiga hatua hadi mlangoni ambapo, nikaufungua kwa tahadhari, nikamkuta Mariam amesimama huku mkononi ameshika mfuko mweupe wenye maandishi ya kijani ‘NAKUMATI’
“Tanataraaaaaaa suprizee”
Mariam alizungumza huku akiingia ndani, nikamtazama jinsi alivyo pendeza, hapo sasa asilimia za msukumo wa kimapenzi zikazidi kupanda moyoni mwangu. Suruali nyeusi aliyo ivaa, imeyabana makalio yake vizuri na kuzichonga hispi zake nene kiasi. Kjijiguo cha juu alicho kivaa, kiliyabana maziwa yake yaliyo simama vizuri, huku nywele zake alizo ziongezea na vigi lenye rangi ya gold zilishuka hadi mgongoni.
“Nimekufanyia shooping ya vitu vya ndani”
“Wacha wee”
“Ndioooo. Kwa maana natambua mabachela siku zote huwa hawanunui vitu, nikifungua friji naweza nikakuta halina kitu”
“Wewe umejuaje?”
“Nimejua tu”
Mariam akaweka mfuko juu ya meza, akapiga hatua hadi kwenye kafriji kangu ambako si refu kwenda juu. Akainama na kutazama ni vitu gani ambavyo vipo kwenye friji langu. Kitendo cha yeye kuinama huku makalio yake akiwa ameyaelekezea kwangu, nikabaki nikiwa nimekodoa macho. Akasimama huku akiwa ameshika sahani, akaniongelesha ila kusema kweli nikabaki nikiwa nimemkodolea tu macho wala nisielewe ni kitu gani ambacho anakizungumza.
“Dany si nakuongelesha”
Mariam alizungumza huku akiwa amenishika mkono, ndipo nikarudisha kumbukumbu zangu na kumtazama usoni vizuri.
“Ulikuwa unasemaje?”
“Ahaaa ina maana umesimama hapa na hapa hujanisikia?”
“Akili yangu nahisi haikuwa hapa”
“Mmmmm kwa hiyo ilikuwa wapi?”
“Tuachane na hayo, sema ulikuwa unasema…..?”
“Hizi soseji kakupikia nani?”
“Nimepika mwenyewe”
“Mbona kama sahani ni yakwetu hii?”
“Acha utoto unataka kusema kwamba sahani hizo zipo kwenu tu”
“Zimefanana”
Mariam alizungumza huku aking’ata soseji moja, akaaiweka sahani mezani, akaanza kupanga vitu alivyo leta huku vingi vikiwa ni vijwaji. Alipo maliza akalifunga friji na kunigeukia.
“Sasa hiyo ndio zawadi yako”
“Asante”
“Kuna matunda, soda, juisi za kopo, maziwa ya kopo. Ila niliogopoa kukununulia bia nikajua wewe si mnywaji”
“Na kweli mimi sio mywaji. Ila nina njaa nataka kwenda kununua chakula”
“Ohoo nilitaka nikujie na piza, ila nikaona uvivu kubeba mboksi wake”
“Haina shida”
“Basi twende wote”
“Wapi?”
“Si huko unapotaka kwenda kununulia chakula”
“Mama yako yupo?”
“Bado hajarudi”
“Poa”
Nikazima Tv, tukatoka ndani Mariam akatangulia nje na mimi nikamalizia kuufunga mlango wangu kisha nikaanza kutembea kwenye kordo ndefu, vyumba viwili kabla sijatoka nje kabisa nikasikia kilio katika chumba cha kushoto kwangu, huku sauti ya mwaume ikigomba sana.
‘Wanagombana nini hawa nao?’
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikipiga hatua mbili mbele kabla sijafika hata mlango wa kutokea nikastukia kumuona Asma akitoka mbio ndani kwake huku akiwa amejifunga kanga moja, akilia akionekana kukimbia kipigo cha mume wake. Sija kaa sawa mume wake naye akatoka kasi akiwa ameshika kisu mkononi mwake akielekea uwani ambapo ndipo alipo kimbilia Asma.
Bila hata ya kutaka kupoteza muda na mimi nikakimbilia uwani kwa kasi nikamkuta Jumaa akimfwata Asma kwa hasira haku kisu akiwa amekinyanyua juu. Kwa haraka nikamuwahi Jumaa na kumdaka mkono alio shika kisu.
“Jumaa unataka kufanya nini wewe”
“Niachie nitamuua huyu malaya”
“Mwanamke hapigwi hivyo Jumaa”
“Toka hapa na wewe msenge, ina kuhusu nini?”
“Nashukuru kwa matusi yako ila usifanye hivyo Jumaa”
Nikastukia Jumaa akinipiga kisukusuku cha kifua na kunifanya nimuachie mkono wake alio shika kisu, kitendo hicho kinanifanya nikasirike, nikamuangalia Asma aliye jibanza kwenye ukuta wa fensi ya nyumba yetu, asijue ni wapi atakimbulia.

AISHII U KILL ME


SEHEM YA 9


Kwa haraka nikamuwahi tena Jumaa, mkono wake ule ule ulio shika kisu. Nikaukunja kwa haraka na kumgeuza Jumaa, nikampiga mtama mmoja mkali ulio muangusha chini kama zigo la kuni. Nikavikunja vidole vya viganja vya mkono wake ulio shika kisu na kumfanya Jumaa kutoa ukelele mkali.
“Utarudia tena kumpiga mkeo?”
Nilimuuliza Jumaa kwa ukali huku nikizidi kuvikunja vidole vyake kwa kuvirudisha nyuma. Asma na Mariam ambaye sikujua hata ameingia saa ngapi huku uwani walibaki wakiwa wamesimama huku wametukodolea macho. Jumaa kwa jeuri hakujibu kitu chochote na kunifanya nizidishe kuvikunja vidole vyake, hapo ndipoJumaa alipo zidi kupiga kelele kwa maumivu makali.
“Simpigi, Simpigi”
Jumaa alizidi kulalama kwa maumivu.
“Muombe msamaha mke wako”
“Ehee”
Nikazidi kumkunja kiganja chake na kumfanya Jumaa aanze kumuomba msamaha Asma aliye jkunyata kwa woga.
“Dany msamehe bwana”
Mariam alizungumza huku akinitazama usoni. Nikamuachia Jumaa huku nikumkazia macho makali. Taratibu Asma akamfwata mume wake na kunyanyua chini nilipo mlaza. Jumaa akanitazama na macho makali kisha wakaondoka na mke wake na kuelekea chumbani mwao.
“Twende zetu”
Mariam alizungumza, sikumjibu kitu chochote zaidi ya kutoka nje huku akinifwa kwa nyuma. Tukakatiza mitaa miwili na kufika kwenye kimgahawa kimoja ambacho wanauza vyakula mbalimbali.
“Agizia unacho hitaji”
“Ndio unazungumza na sauti nzito hivyo, au bado una mahasira yako?”
Mariam alizungumza huku akinitazama usoni mwangu, nikashusha pumzi na kurudi katika hali ya kawaida. Akaja muhudumu, akatuuliza tutatumiua nini.
“Nahitaji nyama choma ya ng’ombe na bia”
“BIA…..!!?”
Maarim aliniuliza kwa mshangao, hadi muhudumu akastuka.
“Ndio kwani vipi?”
Mariam hakujibu kitu zaidi ya kuagiza kitu ambacho ana hitaji. Haikuchukua muda sana chakula kikaletwa pamoja na vinjwaji.
“Dany kumbe unajua kupigana eheee?”
“Kwa nini?”
“Nimeona jinsi ulivyo mkaba Jumaa, yaani yule kaka kila siku anakazi ya kumpiga mke wake”
“Hivi chanzo kinakuwa ni nini?”
“Wivu tu waa ajabu, jaani Jumaa hataji hata mke wake awe na marafiki wa kike. Ni ndani nay eye”
“Mpuuzi, nikisikia tena nitamlaza ndani”
“Utamlaza ndani?”
“Aahaa tuachane na hayo”
Jinsi Mariam anavyo kula chajula chake, nikawa na kazi ya kumchunguza uzuri wake. Kitu ambacho hakikuwahi kutokea kwenye maisha yangu ni kushindwa kumtongoza mwanamke ambaye nina muhitaji, ila kwa Mariam nikajikuta ninakuwa mzito sana kutamka kitu chochote. Kadri muda na msaa yanavyo zidi kwenda ndivyo jinsi nilivyo zidi kuzigida pombe kushindana na hisia, nikiamini kwamba nikiwa nimekunywa sana nina weza kumtamkia Mariam kwamba nina mpenda.
“Dany inatosha bwana, usinywe tena pombe”
“Kwa…kwani hii ni bia ya ngapi?”
“Bia ya tisa”
“Ahaa tisa mbona chache”
Sauti yangu ilibadilika kabisa na kuwa sauti ya kilevi. Mariam akaninyanyua kwenye kiti nilicho kalia. Nikasimama wima, na kutoa toti za shilingi elfu kumi zipatano nane na kumkabidhi muhudumu, sikuhitaji kujua anatudai bei gani kwa maana kiasi nilicho mpa ni kikukbwa kuliko na kiasi ambacho tumetumia eneo hilo.
“Dany tuchukue bajaji”
“Bajaji….!! Bajaji ya nini sasa?”
“Umelewa wewe huwezi kutembea njiaa nzima na sasa hivi muda umekwenda”
“Kwani sasa hivi ni saa ngapi?”
Mariam akatoa simu yake mfukoni mwa suruali na kuangalia saa.
“Ahaa saa sita na nusu usiku”
“Sasa unasema usiku kwani sioni giza”
“Dany acha masihara bwana, tazama hapa umesimama tu unayumba yumba”
“Ahaa kwanza sihitaji kurudi nyumbani kwa sasa”
“Ahaa!!”
“Unashangaa nini sasa. Mimi sihitaji kurudi nyumbani”
“Sasa unataka kwenda wapi jamani Dany, kumbe ukilewa unakuwa na vituko kiasi hichi”
“Ahaa achana na mimi nataka kwenda kulala kwenye hoteli moja nzuri”
“Mungu wangu, sasa Dany unataka kwenda hoteli gani?”
“Wewe rudi nyumbani, mimi nakwenda kulala hotelini”
“Siwezi kurudi mwenyewe kama vipi nikudishie bajaji inipeleke nyumbani”
Mariam akaita bajaji moja, akaingia kwenye bajaji na mimi nikaingia kwenye bajaji.
“Ahaaa wewe si umesema unataka kwenda kulala hoteli nzuri vipi tena na huku?”
“Hei dereva tupeleke KC Hoteli”
“Sawa kiongozi”
“Dany mimi nakwenda nyumbani, nataka nikalale mapema kesho nina mtihani asubuhi chuoni”
“Unataka kulala mapema gani, wakati saa hizi inakwenda saa saba. Dereva endesha bajaji”
“Dany kumbe ukilewa upo hivi”
“Nipoje”
“Mmmm haya, ukifika hotelini dereva ananirudisha nyumbani”
Bajaji ikafika katika hoteli niliyo hitaji kufika. Nikamlipa kiasi anacho kihitaji. Nikashuka na Mariam naye akashuka.
“Unakwenda wapi?”
“Sirudi mwenyewe nyumbani”
“Rudi wewe, mama yako atakuchapa”
“Ahaa nimekuwa mtu mzima nirudi nisirudi hilo halimuusu”
Sikuwa na chakuzungumza huku moyoni mwagu nikiwa na furaha sana kwa maana naona Mariam anaingia kwenye kumi na nane zangu. Nikalipia chumba kimoja wala Mariam hakuzungumza chochote zaidi ya kukaa kimya akaanza kunifwata kwa nyuma, tukapandisha hadi gorofa ya pili kisha tukaingia katika chumba amacho nimelipia.
Kitendo cha kufunga mlango kwa funguo, nikamuwahi Maria kwa nyuma na kumshika kino, kwa haraka Mariam akakurupuka mikononi mwangu na kunigeukia. Akanitandika kofi moja zito la shavu huku akiachia msunyo mkali na mzito.
“Mimi sio malaya wa kujirahisha kwa mwanaume, na sijakuja hapa unitomb*, lala zako kitandani mimi nitalala hapa kwenye kochi”
Mariam alizungumza huku akiwa amekunja sura, akapiga hatua hadi lilipo sofa akajirusha na kukaa, huku akinikazia macho makali.

Sikuamini kwamba Mariam anaweza kuwa mkali sana kwenye hili. Kwa mtazamo wa haraka haraka ukimtazama unaweza kusema kwamba ni msichana anaye jirahisisha sana katika kulitoa penzi lake. Moja kwa moja nikajitupa kitandani huku nikijisikia aibu sana kwa kitu ambacho nimekifanya kwa Mariam kwa maana sikuhitaji kuweza kukifanya kwa haraka.
Kwa msongamano wa mawazo mengi nikajikuta nikipitiwa na usingizi. Simu iliyopo mfukoni mwangu ikanistua kwa mlio wake nilio uweka katika mfumo wa mtetemesho(vibration). Taratibu nikaitoa mfukoni na kuitazama nikiwa na mawenge ya usingizi sana na kukuta anaye piga simu ni K2.
“Haloo”
“Umeamkaje?” “Salama tu” Nilizungumza huku nikijinyanyua kitandani, moja kwa moja nikayatupia macho yangu kwenye sofa na kukuta Mariam akiwa hayupo. Kwa haraka nikanyanyuka kwenye kitanda huku simu yangu ikiwa kwenye sikio.

*AISHII.. U. KILL.. ME*


SEHEM YA 10


“Vipi umesha jiandaa kwenda kazini?” “Ahaa ndio” “Sawa, mimi ndio natoka, yaani hapa nina hamu na wewe, natamani nije hata kwako unipatie japo goli moja kisha twende kazini” “Usijali luch tutaonana” Nilizungumza huku niki nimefungua mlango wa bafuni na kumkuta pia Mariam hayupo. Nikatazama saa ya ukutani na kukuta ni saa kumi na mbili na nusu.
“Ok basi ngoja mimi nitangulie”
“Sawa”
Nikakata simu na kuirudisha mfukoni. Nikatoka chumbani na moja kwa moja nikaeleka katika barabara, nikamuita bodaboda wa pikipiki na kumuomba aniwahishe nyumbani kwa haraka. Akafanya hivyo, hadi ninafika snyumbani ni saa moja kasoro. Nikampa dereva pikipiki pesa yake. Kitendo cha kufika getini nikakutana na Mariam uso kwa uso akifungua geti akiwa amevalia tisheti ya chuo hicho cha ualimu huku akiwa ameshika mkobwa wake mdogo.
Mariam akanitazama kwa jicho kali huku akisimama, akanipita na kuondoka zake, akapanda pikipiki niliyo kuja nayo. Nikaingia ndani na kukutana na mama Mariam kwenye kordo akitoka kuoga.
“Mambo Dany” “Poa shikamooo mama” “Marahaba” Kutokana nimechelewa sana kazini, sikutaka hadithi na mama Mariam. Moja kwa moja nikaelekea chumbani kwangu nikafungua. Nikachukua taulo na kuelekea moja kwa moja bafuni. Haraka haraka nikaoga na kurudi chumbani kwangu na kumkuta mama Mariam akiwa amekaa kwenye sofa la chumbani kwangu huku akiwa amevalia kanga moja iliyo lowana lowana maji na kuufanya mwili wake kushikana na kanga hiyo.
“Nimekuletea taulo lako” “Asante naomba utoke nahitaji kwenda kazini sasa hivi” “Mmm Dany, ndio haraka haraka hivyo hata sijakufaidi vizuri” “Mama Mariam tafadhali ninakuomba utoke ninawahi kazini bwana” Mama Mariam akasimama na kunisogelea sehemu nilipo simama, huku akiifungua khanga yake na kuiangusha chini.
“Dany jogoo wako kila ninapo mfirikira mwili mzima huwa unianisisimka, tafahdali nipatie japo kimoja. Jana usiku mwenzako sijalala nimekesha kwa kujitia vidole, tafadhali mpenzi” Mama Mariam alizungumza huku machozi yakimlenga lenga. Akanisogelea na mkono mmoja akaupitisha kiunoni mwangu na kunishika kiuno.
“Hivi ni kweli Dany utaniacha na nyege zote hizi, hembu tazama hadi huku chini kumesha anza kuvuja” Mama Marima alizungumza kwa vitendo huku akinionyesha manii jinsi zinavyo teremka taratibu kwenye mapaja yake.
Jogoo wangu taratibu akaanza kunyanyuka nyanyuka taratibu. Mama Mariam akagundua hilo na kuuleta mkoo wake mwengine kwenye taulo na kulisogeza taratibu na kumshika jogoo wangu.
“Mama Mari…..” “Noooo”
Tayari Mama Mariam alisha nisikumia kwenye kitanda. Akamuingiza jogoo wangu mdomoni mwake na kuanza kumnyonya kwa pupa, jinsi mama Mariam anavyo zidi kumnyonya jogoo wangu ndivyo jinsi nilivyo zidi kupagawa kwa raha.
“Aisiiiiiii………” Mama Marim alizungumza huku akimkalia jogoo wangu. Sikuamini kumuona jogoo wangu akizama wote kwenye kitumbua cha mama Mariam ambaye jana yake alihisi kufa kufa nilipo mzamisha. Kwa unene wa mapaja na makalio ya mama Mariam, jinsi alivyo kua akipanda juu na kushuka chini, ukaanza kusikila mlio wa PWAAAA PWAAA PWAAA.
Mama Marim akawa kama amenipania, kwa maana ana muhimili jogoo wangu kwa kila namna anavyo mpeleka ndivyo nilivyo zidi kuchanganyikiwa na mauno yake, hadi jasho likawa linamtiririka.
“Dany nakuja, nakuja, nakujaaa………” Mama Marim alizungumza huku akiongeza kasi ya kukama kiuno, ikafikia kipindi akanilalia kifuani huku akiendelea kukipeleka kasi kiuno chake, na kuanza kuwafanya waarabu weupe kuanza kujiandaa kutoka.
“Dany nakojoo, nakojooa mama yangu weeeeee” Mama Mariam mwili wake mzima akakakamaa, hadi kwenye kitumbua chake na kumfanya jogoo wangu apate joto maradufu. Pasipo kutegemea nikajikuta waarabu wangu wote wakishilia kwenye ndani ya kitumbua cha mama Mariam.
“Mamamaeee, wee mtoto, mbo** yako umeipaka nini?” Mama Marima alizungumza huku akijinyanyua kifuanai mwangu, jogoo wangu akawa bado hajatoka kweneye kitumbua chake, akajitingisha tingisha huku akiwa ameing’ata midomo yake kwa hisia kali sana.
“Kwa nini?” “Ahaaa sijapata ona, mbo** tamu kama yakwako”
“Hakuna kitu” “Mmmmmm…….” Mama Marim aliguna huku akijimchomoa jogoo wangu taratibu na kusimama. Nikanyanyuka kitandani na kuliokota taulo langu chini. Nikajifunga kiunoni kwa haraka haraka, nikaitazama saa yangu ya ukutani na kukuni ni saa moja na nusu asubuhi.
“Shiitiii, nimechelewa kazini” Nikatoka chumbani kwangu kwa haraka na kueleka bafuni kwa maranyingine. Nikaoga na kurudi chumbani kwangu na kumkuta mama Mariam akiwa ameliekekezea feni kwake limpepe jasho limwagike. Nikafungua kabatini na kutoa suruali nyeusi, shati yeupe la mikono mirefu pamoja na koti jeusi.
“Unavaa suti leo?” “Ndio” Nilizungumza huku nikijifuta maji mwilini mwangu. Nikavaa boksa, kisha suruali, nikafwata shati pamoja na koti lake.
“Ufungo tai” Mama Mariam akasimama na kulisogeea kabati langu. Akatazama tai nilizo zining’iniza. Akachukua tai moja yeusi na kuanza kunifunga shingoni.
“Daaa tukio hili linanikumbusha mbali sana”
“Wapi huko?”

“Kipindi marehemu baba Mariam, akiwa anaamka kwenda kazini, mara nyingi nilikuwa ninapenda kumfunga tai yake” “Ahaaa, sawa” Mama Mariam akaniletea viatu nyeusi nilivyo viweka nyuma ya mlango, kwneye sehemu maalumu ya kuviweka. Akanivalisha soksi pamoja na viatu akaniweka vizuri tai yangu pamoja na koti.
“Hapa sas umependeza mpenzi wangu” “Asante”
“Ila Dany wewe ni mzuri, kama mwanamke hiyo sura yako”
“Acha hizo” “Kweli Dany yaani uma macho ya kike, kitu kilicho kuokoa ni umbo lako, la mazoezi la sivyo ukijifunga kanga kichwani watu wanakutongoza” Mama Mariam alizungumza katika hali ya kutabasamu. Kitu kilicho niumiza kichwa ni jinsi gani ninaweza kuitoa bastola yangu niliyo iweka chini ya kitanda kwa maana sipendi mtu yoyote kuweza kuifahamu kazi yangu na endapo mama Mariam ataiona silaha hiyo ni lazima atakuwa na maswali mengi mengi yatakayo nikere na kunipa wakati mgumu sana.
“Ok naomba uchukue kanga ujifunge nahitaji kutoka sasa mama” “Ila Dany, unaonaje ukaniachia funguo yako nikakufanyia usafi kwa maana huwezi kutoka na kukiacha kitanda kama hivi” “Ahaa bado mapema sana, huko mbele mbeleni nitakuwa nina kuachia ufunguo”
“Ina maana huniamini si ndio?”
“Sio kwamba sikuamini, ila bado mama”
“Sawa” Mama Mariam akaokota kanga yake na kujifunga vizuri, akapiga hatua hadi mlangoni akasogeza pazia taratibu kuchungulia nje, alipo ona hakuna mtu akarudi akanibusu mdomoni kisha akachungulia tena na kuondoka kwa mwendo wa haraka.
Niakarudi kitandani na kunyanyua godoro langu, nikaichukua bastola yangu. Nikaichomea kwa nyuma kiunoni. Nikatoa waleti na simu kwenye suruali niliyo ivua na kuviingiza kwenye mfuko wangu wa suruali niluyo ivaa.
Nikafunga chumba changu na kutoka nje, kwa bahati nzuri nikapata dereva wa pikipiki. Moja kwa moja nikaeleka ofisini huku kwa mara kadhaa nikumuimiza dereva huyo kuongeza mwenda wa pikipiki ili tuwahi kufika.
Hadi ninafika ofisini ikawa imesha timu saa mbili na dakika kumi, na muda wa wafanyakazi wa mwisho kuwasili ofisini ni saa moja na nusu asubuhi. Nikashuka kwenye pikipiki na kumlipa dereva, nikakimbilia ndani ya jengo letu la ofisi. Nikasimama sehemu ya lifti inayo onyesha inashuka chini ikitokea kwenye gorofa za juu.
“Mambo Dany”
Sauti ya binti mmoja ambaye ni mgeni katika ofisi yetu alinisalimia huku akisimama pembeni yangu, sote tukisubiria lifti hiyo kufika chini tulipo.
“Safi Suzy za kwako” “Poa, naona leo umechelewa” “Ahaa si unajua mwanzo wa wiki jinsi ulivyo mgumu” “Kweli, ila umekosa kikao cha asubuhi, mkuu amekoroma sana kwa wachelewaji” “Ameitisha mkuu nani?” “K2” Kusikia hivyo nikashusha pumzi, kwa maana nilidhani ni Mzee Ndimbo, ambaye siku zote hapendi masihara kwa wazembe.
“Tena ametoa ujumbe ukifika ofisini kwa yoyote atakaye kuona ukamuone ofisini kwake” “Mmmmm, kazi kweli kweli” Lifti ikafunguka, wakatoka wafanyakazi wawili ninao fanya nao kazi ofisi moja. Tukasalimiana kisha nikaingia kwenye lifti iliyo tupeleka hadi gorofa ya kupi kwenye ofisi zetu. Kama alivyo nieleza Zuzy moja kwa moja nikaelekea ofisini kwa bosi wetu K2.
“Mkuu yupo?” Nilimuuliza secretary wa K2, aliye nikodolea macho baada ya kunitazam.
“Nini mbona umenikodolea mimacho” “Bosi yaani ana hasira na wewe, hivi umeitazama simu yako. Amekupigia mara kibao” Hapo ndio nikaitoa simu yangu mfukoni, nikakuta missed call ishirini za K2, na kwa bahati mbaya simu yangu sijui ilijiminya vipi ikawa katika mfumo wa silence, kwa maana hiyo simu zote alizo piga hakuna hata moja niliyo weza kuisikia. Japo nimeanzisha mahusiano ya kimapenzi na K2, ila bado woga wa mfanyakazi na bosi wake upo bado moyoni mwangu.
Kijasho nikahisi kikinitiririka usoni, huku tumbo la haja kubwa likianza kunikoroma. Hata kabla sijafanya chochote, mlango wa ofisi ya K2 ukafunguliwa. Akanitazama kwa sura ya ukali hadi mimi mwenyewe nikaogopa.
“Njoo ofisini kwangu” Alizungumza na kurudi ofisini kwake, nikatazamana na secretary wake aliye nionyeshea sura ya huzuni kwani sote tunamfahamu mwanamama huyu, akikasirika huwa hana masiraha kabisa, na anaweza hata akakuchapa vibao mbele za watu bila kujali umri wako au heshima yako mbele za wafanyakazi wengine.
Nikairudisha simu yangu mfukoni, nikapiga hatua hadi mlangoni mwa ofisi yake, nikashika kitasa na kukisukuma taratibu.
Kitendo cha kuingia tu, nikamkuta K2 amesimama akinisubiria, kofi zito likatua shavuni mwangu nahisi hadi sekretari wake aliweza kusikia kwa maana mlango bado haukuwa umefunga vizuri.
“Hii ofisi ni ya baba yako?”
K2 aliniuliza kwa sauti ya ukali hadi nikahisi mwili mzima ukizizima kwa woga. Sikujibu kitu na sura yangu nikawa nimeiinamisha chini, nikiyasikilizia maumivu makali ya kibao hicho. Kwa kidole kimoja akaninyanyua uso wangu na kunitazama huku sura yake ikiwa bado imejikunja.
“Unahisi kunitomb** kwako ndio kunaweza kukufanya ukawa mzembe kazini?” “Hapana mkuu” Nilijibu huku machozi yakinilenga lenga.
“Hata nikikupa kum** yangu au mkund** wangu, bado huwezi kukiuka sheria na misingi ya kazi. Unakuja saa mbili, nakupigia simu hupokei unajihisi wewe ni kidume si ndio?” k2 aliziku kufoka, na kunifanya nianze kujiapiza kimoyo moyo kwamba kwamwe sinto rudia kufanya naye mapenzi, kwa manaa ubabe anao ufanya kwa wafanyakazi wengine nilisi kwangu utapungua, kumbe ndio umeongezeka mara mbili zaidi ya hapo mwanzo.
“Potea mbele ya macho yangu na ukawaulize wezako ni kitu gani ambacho nimeagiza wao kukifanya. Pumbavu wewe” Nikapiga saluti na kugeuka, nikafika mlangoni na kukishika kitasa cha mlango huku dukuduku la kuhitaji kuzungumza kitu likiwa linanisumbua moyoni mwangu.
‘Potelea pote’
Nilizungumza kimoyo moyo huku nikigeuka na kumtazama K2 aliye nigeuzi mgongo wake akieleka kukaa kwenye kiti chake.
“Sikiliza, kuanzi leo. Nijue kama mfanyakazi wako na si mwanaume utakaye iona mbo** yangu ikiingia kwenye kum** yako. Jana ndio ilikuwa mwanzo na ndio itakuwa mwisho” K2 akageuka na kustuka kusikia maneno hayo niliyo yazungumza, nikafungua mlango na kutoka kwa hasira, iliyo yafanya machozi yangu kutiririka hadi secretary akanishangaa.

ITAENDELEA..

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.