Notification texts go here Contact Us Buy Now!

UKIONA MTAANI GARI ZIMEANDIKWA KTK PLATE NAMBA KAMA IFUATAVYO USIUMIZE KICHWA

*Ukiona mtaani gari zimeandikwa ktk PLATE NAMBA kama ifuatavyo usiumize kichwa jua ni hivi:*

1. *NGAO* -Rais, makamu wa Rais na Waziri Mkuu

2. *S* -Spika wa bunge

3. *JM* - Jaji mkuu

4. *JR* - Jaji wa mahakama ya rufaa

5. *JK* - Jaji Kiongozi

6. *J* - Jaji wa mahakama kuu

7. *XXXX* -Mkuu wa majeshi(CDF)

8. *CAG* -Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali

9. *CS* - Katibu mkuu kiongozi

10. *W*  mwanzoni inaashiria waziri kisha kifupi cha wizara yake hufuata

11. *NW* -Naibu waziri

12. *DFP* -Donor's Fund project

13. *ST* -Serikali ya Tanzania kisha herufi nyingine hufuata

14. *SMZ* -Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar

15. *PT* -Police of Tanzania

16. *SM* -Serikali za mitaa

17. *CD* - Magari ya ubalozini

18. *SU* -Shirika la Umma.

19. *JW*  -Jeshi la Wananchi

20. *MT* -Magereza Tanzania

21. *CGP* -Commissioner General of Prison(Mkuu wa Magereza)
22. *KUB* - Kambi ya upinzani Bungeni
*NB* Gari nyingine za umma zina namba zaidi ya moja kwa kazi maalum

*NYONGEZA:*
Gari za biashara zina plate number nyeupe na zile za matumizi binafsi plate number ya njano.

Hii hapa video inayoelezea namba hizo kwa kina zaidi

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.