*NDOA NI FURAHA*
❤❤❤❤❤
*Ndoa nyingi zipo kwa ajili tu ya kupata mtu wa kulala naye, kuamka naye, kuzaa naye, kuzaa na kulea watoto na kuzeeka pamoja. hii sio sahihi kabisa, ndoa inahitaji kufurahi kati yenu wawili*❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
*Ngoja nikumegee siri moja, sababu ya kwanza kabisa ya kuwa katika ndoa ni kuwa na mtu wa karibu ambaye unaweza kufurahia naye maisha, na huyo ndio mume wako*❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
*Ndoa nyingi hujikuta wanaishi bila furaha, wanazeeka tu pamoja lakini hakuna kati yao ambaye anafurahia kuwepo katika ndoa hiyo*❤❤❤❤❤
*HEBU ANGALIA HAYA*
❤❤❤❤❤
*Jiulize, ni lini mara ya mwisho ulimbusu mumeo? ni lini mara ya mwisho ulimkumbatia kimahaba mumeo? ni lini mara ya mwisho ulimnong’oneza mumeo maneno mazuri ya mahabbah naye akatabasabu*❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
*Je, ni lini ulimlisha mumeo chakula kama ishara ya mahaba? ndoa nyingi ukiona mmoja anamlisha mwenziwe basi ujue huenda mke au mume mahututi na anashindwa kula mwenyewe. usisubiri aumwe ndio umwonyeshe upendo huu, unaweza kumfanyia hata sasa wakati ni mzima kabisa*❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
*Usisubiri mume wako aombe chakula au penzi. Mwanamke tambua kuwa mumeo hayo ni mahitaji yake ya msingi sio mpaka aombe*❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
*Sio lazima umsubiri mwenzako aumwe ndio umbebe, unaweza kufanya hivi wakati wowote na ni ishara tosha ya furaha katika ndoa*❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
*Sio lazima usubiri sherehe maalumu kumzawadia mwenzio, unaweza kufanya hivyo wakati wowote na ni ishara ya kujali*❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
*Sio lazima mkichelewa kutoka kazini ndio muoge pamoja, mnaweza kufanay hivi muda wowote na huongeza upendo*❤❤❤❤❤
*❤Ni ushauri.....ukiupenda ufanyie kazi*❤
**
*Usikubali kuwekwa kimada au mchepuko wa Mtu akutumie kama pipa la taka Kuna kukutupia uchafu wake*
*Wanawake walio wekwa kuwa michepuko kwanza ni wale wako kata tamaa ya maisha yaani akili zake zimeishia hapo sababu haweze kujiongezea Hapo kwa Sababu hakuweshimu mwili Wake*
*Wengi hudhani kuwekwa kimada ama kuzungunguka basi kunawasaidia kiuchumi my friend unajidanganya hapo na hivo vipesi vyake nawe anakutumia na anakuathiri kisaikolojia Maana hutojingeza uache kuzurura kwa sababu umeathirika kimaumbile na kisaikolojia unaona ushaolewa sababu umezoea*
*Hibu wacha muogope mungu wako mwili wako na na ujifadhi mwili wako*
*Ukitaka kutafuta mafanakio tafuta kwa njia ya halali na siyo haram*
*Fa hivi Kama upo tu nyumbani unaasubiri kuolewa Basi usikae tu unasubiri mpaka ukakosa pesa ya lotion itakupelekea wewe kuzurura na kupata madhambi ya uzinifu bure*
*Kwanza hata kamtaji Kadogo tu kwa mzazi wako siyo lazima ukafanye biashara bararani ukasema Mimi nauzuri Wangu wote huu nikakae barabarani hata hapo kwenu mfano asubuhi pika hata chapati tena pika asubuhi baada ya fajr Kuna wanaume zawatu hawajawahi kutengezewa breakfast tangu waoe isipokuwa weekend tu*
*Maana mke Kalala mpaka mume anapondoka kazini mke hajui ndio kwanza kalala kwa hiyo akikutaa umpika chapati na supu lazima apitie kwako ale ndipo aende kazini*
*Pia Jioni choma hata viazi usikate kupita umbea tena Wale marafiki zako wambie walio zoea kukuletea umbea lazima watanunua hata wakikupigisha umbea kwanza hutosikiliza umbea wao wewe unawaza tu akupe chako huo umbea hakuhusu kwani mtume ywasema uzuri WA mwislamu ni kuwacha jambo lisilomuhusu*
*Ukifanya hivi mwezi tu utapata utaji ufungue biashara yako kubwa unayoitamani kwani unakula jasho lako na pesa yako ni Tamu kuliko ya mwanamume*
*Na pesa ya Mtu ni itakufanya kukufanya mtumwa lakini kamwe pesa yako haiwezi kukufanya mtumwa bali utamfainyia malengo si kila aliyefanikiwa Basi alizaliwa na utajiri laa hash alianza kidogo Kidogo mpaka ikafikia hapo alipo*
*usisahau kumtegemea kwani hata mbuyu ulianza Kama mchicha*
*Inahusu single na single mother*
*Mwanamke mzuri siyo Yule aliyedanga Bali mwanamke mzuri siyo anayedanga bali mzuri ni yule anajiheshim na kuhifadhi mwili wake*
*Ushauri bure kiupende uchukue ufanyie usipompenda uache*
*JITAMBUE DADA'*