Notification texts go here Contact Us Buy Now!

HIKI KITU KINAUMIZAGA AKILI NA MOYO

HAKUNA KITU INAUMIZAGA AKILI NA MOYO
KAMA:


umepanda kwenye daladala unash. 2000 tu huna
hata mia ya kula, na nauli ni sh.1000, sasa
anapanda mdada ambaye ushawahi kusomaga
nae anakaa pemben yako mnakumbushiana story
za zaman, konda anakuja kudai nauli unampa ile
2000 alafu alivokuwa hana adabu anakuuliza kwa
nguvu NIKATE WAWILI?
Daah! Yani unajikuta kabaridi kanakupuliza kwa
mbaliii , YANI UNAJIKUTA UNAMTUKANA
KONDA KIMOYOMOYO™™™™™™™™™™™™™™™™™™™™

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Maoni 2

  1. Ingekuwa ni ww ungefanya nn katika hali kama hiyo?
    1. Unasema ukwel kwani unateseka
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.