Notification texts go here Contact Us Buy Now!

CHAI YA FIKRA NA MAHABA

Estimated read time: 4 min

CHAI YA FIKRA NA MAHABA

Ni ipo hiyo chai ya Mahaba??

Nikiongelea chai ya Mahaba usije ukasema unaenda kuipika sasa hivi tena ukajiuliza yatiwa tangawizi ? mdalasini ? au hiliki ata si hivyo hiyo ni chai ya mahaba  ya inaandaliwa kwa maandalizi ya kumpa raha mumeo na mapenzi ili kuzidi kuilinda ndoa yenu.


Na chai kumstaajabisha Mume utamuacha akae ajiulize umefuzwa na nani?? Kayapata wapi mke wangu mambo haya? hee yote haya nafanyiwa mie ? kweli nimepata mke anae nipenda na kunijali na mengine mengi .

Wanaume wote kweli wanafanyiwa kama hivi mradi maswali kibao kichwani mwake yatamzunguka lakini shauri yake ndio maana ikaitwa chai ya fikra na Mahaba mana unamuachia mawazo kibao

Mumeo ajiulize kila swali mambo haya ameyapata wapi mke wangu, ndoa inalindwa ndugu zangu wanaume kama wtt some time unampa pipi hasa afyonze hahaha msizubae vyoo mumeo ajeapewe vitu nje ubaki unalia na mito kitandani kumbe sababu na chanzo ni wewe .

Haya sasa wacha tutayarishe chai ya Fikra na mahaba ili mumeo ukimfanyia asitamani kukusaliti wala.kuwazia swala hilo.
Na chai hizi ziko mbali leo nitawapa hii kwanza


Maandalizi ya chai ya fikra na Mahaba


1)Roweka karafuu yako tia haliudi ndani yake na liwa kidogo Rose water asumini kavu Bizari ya njano kidogo mafuta ya Olive kama unayo weka pembeni,


Tayarisha viwembe vya kunyolea au mashine inategemea mume anatumia nini kujisafishia sehemu nyeti na vitambaa vitatu weka kwenye trey funika kanga mpya.

Mambo hayo utayafanyia chumba chengne sio chumbani kwako kama huna chumba chengine unaweza kufanyia chumbani kwako.ila vizuri iwe chumba chengine. uzuri wa matayarisho ya mume asikuone wakati unamtayarishia uzuri aone ushamaliza matayarisho.

2) chukua trey kubwa weka visahani vidogo vidogo, tayarisha vyakula vitatu kama ambayo mumeo anapenda yani vyakula viwe vya tunu chukuwa kila chakula weka katika kisani chake.

chukua kisahani chengine weka shanga, chengine asumini, mawardi, chengine tia pesa utakazo zikiwa nyingi ndo uzuri zaid usione ubahili shosti hajikuzichukuwa hizi pesa ni zako mwenyewe hapo kunamcheza tu utakuja kuucheza katika pesa hizo uloweka ndio mapenzichengine vikuba viwili kila sahani tia vitu viwili viwili.vitu vyote unapanga kwenye trei kubwa unafunika kanga, hakikisha kanga zote utakazotumia siku hiyo uwe umezifukiza kwa udi na mahaliudi


3)Unakuja chumbani kwako, tayarisha shuka zuri jipya tandika uzuri dizain yoyote ya kumvutia bwana halafu katikati ya kitanda weka sahani tia kikuba funika na kanga fukiza chumba chako vizuri.


4)mume yuko ndani teleka maji ya moto kabisa ya kumsingia bwana na vitaula vyako vyepesi uweke chumbani mkamate mumeo mkono mpeleke chumbani kule kwa mwanzo mvue nguo mumeo kwa mahaba na maneno matamu unaanza kumsinga., kama kawaida ukitaka kumsinga mume unatayarisha vitu vyako chini unatandika mkeka, ukimaliza unasafisha pale chini unamchukuwa mume wako unaenda nae kumuogesha mkoshe vizuri na kumsugua huku ukimpa maneno ya mahaba

ILANI SIKU HIYO HUTAKIWI KUVAA SHANGA HATA MOJA HIYO NI KAZI YA MUME WAKO KWA SIKU HIYO.Shanga ile uloweka kwenye trei imeisha kazi yake, ukirudi wamueka unamueka chini ya mkeka unachukua trey yako unamwambia nifunulie tafadhali habiby wangu , sasa hapo kazi inaanza


5)unaanza kumwambia kwa sauti ya mahaba tafadhali Honey nichagulie kitu chochote hapo unachoona kinanifaaa na nitapendezewa nacho kwa ajili yangu kwa mapenzi yako, mfano akikuchagulia pesa au chakula mueleze kwa sauti ya ujonge hee kumbe hunijali mume wangu bwana ataanza kukuuliza vipi mke wangu mbona kwa nini sikujali utamwambia kumbe waishi na mimi kama mtu wa kawaida tu na thamani kwako sina ndio ukanichagulia chakula au kama pesa utamwambia hee love umeniona mie napenda pesa ataanza kubembeleza na kukuomba msamaha kama utakuwa umepata mume mzowefu wa mahaba .kabla ya kukuchagulia utamwmbia mume wangu nina swali lakini naogopa kukuuliza, atakwambia hapana mke wangu kua free niambie chochote mimi nakupenda utamwamia hivi kweli unanipenda mume wangu??atakujibu ndio mke wangundipo utamwambia kama unanipenda kweli naomba nichukulie kitu ambacho mm nastahili,,lau akikuchagulia ushanga utaanza kufurahi na kumchum na kumwambia kweli unaipenda mume wangu na aanze kukuvalisha ushanga hadi zimalizike si unajua tena kazi ya kuvalishana shanga lazima utajisikia tumkimaliza mnaanza kula vyakula.vyenu na chai yenu nzito mkimalzia sasa unampeleka chumbani kwenu sasa.


6) unamchukua mumeo hadi chumbani kwenu, mkifika wewe unakaa kipembeni kisha unamwambia mume wngu nichukulie huo mzigo wangu kitandani uniletee ila kwa mashartiuulete huku umepiga magoti kisha utamwambia akuvishe akimalizia sijui kitakacho fuata maana mm sitakuwepo hakikisha muwe munanukia kama nyoote siku hiyo hakikisha unamfurahisha bwana kwa hali zoote.
hiyo ndo chai ya fikra bibi hemu na wewe jarubu kuipika uone mume atakavochachatika kwa ajili yako..zinduka bibi makahaba wako macho wavizia wameza mate..

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.