Notification texts go here Contact Us Buy Now!

UGONJWA WA NGIRI

MAJOR K HERBS
________________________
*UGONJWA WA NGIRI.*
________________________

 _Dawa Asilia kali ya ngiri yenye mchanganyiko Miti 120 kutibu kabisa ngiri mwilini mwako._
_________________________

tumeiboresha zaidi inatibu magongwa mengi zaidi.

minyoo sugu
kumwa mgongo na kiuno
Uchovu wa wamwili na mengi mengineo.
________________________
*UGONJWA WA NGIRI.*
________________________

*Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza.*

Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi na kupelekea viungo hivyo kutoshikiliwa vizuri katika sehemu vinapostahili kuwepo.

*Tunaweza kuufahamu zaidi ugonjwa wa ngiri kama hali inayotokea katika mwili ambapo sehemu fulani ya nyama ya viungo mbalimbali vya mwili hujipenyeza kupitia sehemu iliyo dhaifu ya mwili na kutokeza upande wa pili. Sehemu inayoathiriwa mara nyingi ni maeneo ya tumbo, kokwa, pumbu na kadhalika ambapo baadhi ya viungo vya mwili vilivyomo tumboni hujipenyeza kupitia vitundu vinavopitisha mishipa ya fahamu inayohudumia kokwa (Spesmatic Cord), hivyo baada ya kujipenyeza huteremka hadi ndani ya korodani hali ambayo hukamilisha kuwepo kwa ugonjwa wa mshipa wa ngiri.*

Sehemu ambazo Ngiri inaweza kutokea ni pamoja na maeneo ya:

*Tumboni*

*Eneo la kinena*

*Eneo la paja kwa juu*

*eneo ambalo mtu amewahi kufanyiwa upasuaji siku za nyuma*

*Kifuani nk*

Ugonjwa huu wa ngiri unawapata watu wa jinsia zote na wa umri wowote.

*Aina za Ngiri:*
___________________

*1⃣Ngiri maji – Hii ni aina ya ngiri ijulikanayo pia kwa kitaalamu kama (hydrocele)*

*2⃣Ngiri kavu (Hernia) – hujulikana pia kama ‘fermoral hernia’ kwa wanawake na huitwa ‘scrotal hernia’ kwa wanaume*

*3⃣Ngiri ya kwenye kifua – hujulikana pia kitaalamu kama ‘hiatus hernia’*

*4⃣Ngiri ya tumbo – hujulikana pia kama ‘Abdominal Hernia’*

*Ngiri ya kwenye kitovu – hujulikana pia kama ‘Umbilical Hernia”*

*Ngiri ya sehemu ya haja kubwa – hujulikana pia kama ‘Anal Hernia’*

Tutaangalia aina nyingine zaidi za ngiri na maelezo yake katika masomo yanayofuata.

*Dalili za aina zote za ngiri hazitofautiani sana na ngiri hujitokeza bila maumivu yoyote ingawa kuna baadhi ya ngili hua na maumivu makali hutegemea ngiri ilivotokeza.*

_________​​​​​______

MAJOR K HERBS

*UGONJWA WA NGIRI.*

Huu ni ugonjwa hatari sana. Kabla hujafikiria kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume,na kurefusha uume; Je,huna ngiri?

*​​​​​Tibu chanzo  kwanza.*

*DALILI ZA UGONJWA WA NGIRI*

Dalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.

Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵

*1➡Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula  vitu vitamu.*

2➡Kupiga mingurumo tumboni.

*3➡Kujaa gesi tumboni.*

4➡Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.

*5➡Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.*

6➡Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.

*7➡Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.*

8➡Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.

*9➡Nuru ya macho hupotea  taratibu.*

10➡Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.

*11➡Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.*

12➡Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.

*KWA UPANDE WA WANAWAKE*

1➡Hutokea kuumwa sana na chango asubuhi au jioni au kabla ya kupata siku zake.

*2➡Husababisha anaenda haja ndogo mara kwa mara kuwashwa sehemu za siri.*

3➡Anapostarehe (jimai) huona adha na dhiki wala hahisi ladha yoyote na dalili nyingine ni ambazo zimetajwa upande wa wanaume.

*NJOO UPATE DAWA INAYO MALIZA TATIZO LA NGIRI NA NGUVU ZA KIUME*

Karibu; MAJOR K HERBS upate tiba ya tatizo lako.

mawasiliano⤵
WhatsApp. +255676171251
+255784171251.

_________________________

SASA TUNATUMA PACEL ZA DAWA .

*************************

*KENYA.*(Modern coast bus sevice).
*UGANDA.*
 *RWANDA*(Nyamigogo), *BURUNDI*(Kwa Sioni) *CONGO*(Lubumbashi), *ZAMBIA*(Lusaca Intercity streat), *MALAWI* (lilongwe deport streat).

===================
 *```FIKA OFISI ZA FALCON BUS,TAQWA BUS, MODERN COAST BUS UPOKEE DAWA YAKO.*```
===================

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.