MISINGI 6 YA KUWA NA FURAHA KATIKA MAISHA.
1- Usimchukie yeyote hata kama atakukosea sana.
2- Ishi maisha ya kawaida hata kama upo juu kimaisha.
3- Tarajia baraka hata kama magumu yanakusonga.
4- Toa hata kama wewe umenyimwa.
5- Onyesha tabasamu hata kama moyo unavuja damu.
6- Usiache kuwaombea wengine hata kama maombi yako hayajajibiwa.