Micro loans
ni mikopo midogo midogo inayotolea na kampuni mbalimbali zinazohusika na micro finance. Micro loan huwa inatolea bila kuwa na dhamana kama ilivyo mikkopo mingine ya bank ambayo huwa inahitaji uwe na dhamana na huwa inachukuwa mda mrefu kupata mikopo wa bank ukilinganisha na Micro Loans huwa inachukuwa muda mfupi kupata mkopo wako japo mikopo yake huwa midogo ukilinganisha na ile ya bank ambayo unaweza ukapewa hata 1000000/-
Faida Za Micro Loads
Micro loans zinaweza kukukwamua katika biashara yako pale unapokuwa na uhitaji wa hara wa pesa za kuwekeza katika biashara yako ili uweze kupata faida uliotarajia. Mfanao unamiliki duka na gafla umegundua kuwa kunabizaa inaweza kukuingizia faida kubwa kwa haraka kutokana na kuongezeka kwa wateja wa hiyo bizaa kwa gafla, unaweza ukachukua micro loan yako ndani ya dakika chache ukenda kuagiza bizaa yako na ukaweza kuwa hudumia wateja wako waliokuwa na uhitaji wa bidhaa husika.
Haina process nyingi na ndefu za kupata micro loans. kutokana na maendeleo ya technologia unapokea micro loan kwenye account yako ya m-pesa, tigo pesa, airtel money etc. bila hata kutoka chumbani kwako unaweza ukajipatia mkopo wako chap. sio lazima uwe mkopo wa kibiashara unaweza ukachukua micro loan kwanzia 1000/- na kuendelea so hata kama ulikuwa umehishiwa vocha unaweza ukanyakua mkopo wako na kujinunulia vocha hapo hapo.
unapewa mda wa kutosha kuweza kurudisha mkopo wako kutokana na kiasi cha micro loan ulichochukua
Mikopo inapatikana kwa haraka na kwa urahisi
huitaji kuwa na dhamana yoyote kuweza kupata mikopo midogo (Micro loans)
Company za micro Finance zinazo toa Micro loan Tanzania
Wengi wenu mtakuwa mmeshaona matangazo ya L-Pesa. But wengi wetu atujajua kuwa wanatoa micro loans kiurahisi sana na hata huitaji kuangaika ndani ya dakika chache unapokea mkopo wako kwenye simu yako kupitia mobile network unayotumia.
Kupitia L-Pesa unweza kupata micro laons mabalimbali kama vile
-Personal micro laons
-Business micro loans