Notification texts go here Contact Us Buy Now!

DUH! WANAUME NI NOMA

DUH! WANAUME SISI NI NOMA

Mwanaume alipokea simu akasikia sauti ya Mwanamke ...

Hello Sir, naomba tukutane nataka  niongee na wewe.......

Mwanaume : Unanifahamu mimi??

Mwanamke : Ndio,wewe ni miongoni mwa WA BABA wa WATOTO wangu!!!

Mwanaume akapata mshangao ,oooh my Dear !!!!

Mwanaume : Wewe ni Farida
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Jenipha
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Rehema
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Fatuma
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Stela
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni  Grace
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Khadija
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Upendo
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Mariam
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Atuganile
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Jacline
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Aisha
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Juliana 
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Agnes
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Bether
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Gloria
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Irine
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni  Aneth
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Hellen
Mwanamke :Hapana

Mwanaume : Wewe Ni Mwanaidi
Mwanamke :Hapana

Mwanamke :: Ujue Wewe Baba umenishangaza Sana  saana

Mwanaume :, Kwa nini tena??

Mwanamke :: Mimi ni MWALIMU  wa Darasa wa mtoto wako....nilitaka tukutane Hapa shuleni tuzungumze Maendeleo ya mtoto wako...... Ila kwa siku ya leo umenishangaza Sana....... Ina maana Wanawake wote Hao umetembea nao!!!!!!!!!!!

Mwanaume :: Hivi Wewe  mwalimu madaftari yako uliyoandikia darasa la kwanza, la pili,  la tatu  na madaftari yako ya form one mpaka sasa unayo????

Mwalimu :: Hmmm kweli nyie
WANAUME MNATAKIWA MFANYIWE MAOMBI

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.