ASALI NA TANGAWIZI NI
LADHA YA TENDO LA NDOA
HABARI YAKE NZITO
viungo vya tendo la ndoa, si kikubwa na si kigeni bali wapo baadhi hawajui matumizi yake, ni vitu viwili tu ambavyo tunavyo majumbani mwetu ktk maisha yetu ya kila siku
"ASALI NA TANGAWIZI "
Hivi vitu ukiachilia mbali ni viungo ktk vyakula pia kiungo ktk kuboresha radha ya tendo
Namaanisha ni vitu vinavyomfanya mumeo anapata joto LA kutosha endapo mke utatumia ni radha tu ujoto utakaopo mwilini
MATUMIZI YA ASALI NA TANGAWIZI KUKUFANYA MKE UWE NA JOTO ZURI
sio kutumia vitu holela kuviweka utapata matatizo
Hii ukipata uzuri wake huachiii
MKE FANYA HAYA
Chukua Tangawizi mbichi itwange ama isage, ichemshe iwe kali kiasi cha kikombe kimoja cha chai ☕ tia asali vijiko viwili vya chakula ,kunywa masaa mawili kabla ya tendo,
chukua tena Tangawizi kijipande imenye itafune nusu saa kabla ya tendo, tema makapi yake maji yake meza, wakati huo matayarisho yote yako tayari ,
sio wafanya saa nane mume arudi saa mbili usiku Bali andaa vitu vyako akirudi mmeo vitumie uku wamwandalia kuoga na chakula
Ukisha maliza zoezi hili utaona faida kubwa nakuambia
Ladha kwa Mme na MKE
Angalieni msije vunja kitanda
jaribu uone ajabu ya asali na tangawizi
Hakuna alozaliwa na kujua ndoa kujifunza na UBUNIFU MRADI TUSIVUKE AMRI za Allaah
Mtunze mumeo ni pepo yako hiyo