Notification texts go here Contact Us Buy Now!

VIASHRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili ( Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu ). Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake japo katika hali ya u lege lege
VIASHRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo ;
1. Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake
2. Uume kusimama ukiwa legelege
3. Kuwahi kumaliza tendo la ndoa
4. Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika baadhi ya staili ( Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa staili moja tu ). Hapa mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa staili ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake japo katika hali ya u lege lege
5. Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.
6. Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.
7. Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity yoyote ya kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa.
8. Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke ( Kwa mfano kama unafanya tendo la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari una sinyaa )
9. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.
10. Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.