Notification texts go here Contact Us Buy Now!
المشاركات

AINA ZA HASIRA ZA WANAWAKE

AINA ZA HASIRA ZA WANAWAKE                     
 (1) Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu!                                   
(2) Lakini mwingine akichukia, anaongea saanaa muda wote hadi ikukere!                             
(3). Mwanamke mwingine akikasirika, ananuna, haongei! Mtapishana tu kimya kimya. Mawasiliano kibubu-bubu. Shavu limejaa kama Kobra!                               
(4). Mwingine akishikwa na hasira, period ya ghafla ghafla inafuata!                         
(5.) Wako wanawake ambao, akichukia, Atakachokishika usipokimbia anakutandika na anaweza kukuchoma na kisu,, majuto baadaye!                                                                                                                     (6) Mwanamke mwingine akikasirika, hasira zake zinaishia kwenye kuvunja-vunja vyombo. Au saa nyingine kugombeza-gombeza wafanyakazi na watoto! Dizaini hii, huwa ni wale waliokosa kukidhiwa haja za kihisia/ ndoa na waume zao!                                   
(7) Mwanamke mwingine akikasirika, Mtajuana kitandani panapo usiku, Nakwambia utaungama yoote!                                
(8)Kuna wengine wakitibuliwa, hukimbilia kufunga mabegi na kuondoka!                       
(9)Wapo ambao wakikasirika, wanagoma kupika!                             
(10)Wengine wakichukia, wanaamua kwenda kulala kimyaaa!!                         
(11)Wanawake wengine wakikasirika, tumbo linakata, na pengine mpaka wanaharisha!                   
(12)Wako ambao wakishikwa na hasira, huingia kwenye maombi na kuugua kusikoweza kutamkwa. Uchungu ukiisha, wananawa uso na kwenda sokoni.                             
(13) Yuko ambaye akishikwa na hasira, hucheka saaanaaa.... Hutajua kama amekasirika! Dizaini hii ni hatari sana, maana anaweza kukudhuru kiurahisi.                           
WEE UKO KUNDI GANI????? 🤔🤔

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.