Notification texts go here Contact Us Buy Now!

JINSI YA KUPIKA SAMBUSA ZA NYAMA

Mahitaji ½ kilo Nyama ya iliyosagwa kijiko 1 kikubwa cha chakula cha Pilipili manga Kijiko kimoja cha chakula cha kitunguu Thomu na tangawizi iliyosagwa Mafuta ya kupikia Kiasi Vijiko vinne unga ngano au ute wa yai kwa kufungia sambusa Kaki za sambusa/manda/ chapati nyepesi (unaweza kununua zilizokuwa tayari zimeshakatwa kwa ajili ya sambusa au kama utanunua zile sheet pana utazikata kwa inchi 4 upana wa ruler yaani upate mistari 3

SAMBUSA ZA NYAMA

Ndugu wapenzi, Leo tunakuja na Jinsi ya
kupika Sambusa Za nyama. Sambusa
Hupendwa na wengi hasa za nyama. Sambusa
ni Tamu sana, wengi hupenda kula pamoja na...
Juisi, soda na hata chai.

Mapishi ya Sambusa Za Nyama /
Jinsi ya kupika sambusa hatua
kwa hatua

MAHITAJI YA KUPIKA SAMBUSA ZA NYAMA

  • ½ kilo Nyama ya iliyosagwa
  • kijiko 1 kikubwa cha chakula cha Pilipili manga
  • Kijiko kimoja cha chakula cha kitunguu Thomu na tangawizi iliyosagwa
  • Mafuta ya kupikia Kiasi
  • Vijiko vinne unga ngano au ute wa yai kwa kufungia sambusa
  • Kaki za sambusa/manda/ chapati nyepesi (unaweza kununua zilizokuwa tayari zimeshakatwa kwa ajili ya sambusa au kama utanunua zile sheet pana utazikata kwa inchi 4 upana wa ruler yaani upate mistari 3)

JINSI YA KUPIKA SAMBUSA ZA NYAMA


  1. Kausha nyama ya kusaga kwa kitunguu swaumu (thomu) na tangawizi pamoja na chumvi mpaka ikauke vizuri Iwache ipoe.
  2. Kata kata majani ya kotmiri weka upande Kata kata upate vipande vidogo vidogo(chop) vya vitunguu maji. 
  3. Zikate pili pili zako slice za mviringo vidogo vidogo. 
  4. Wakati ukimaliza matayarisho haya na nyama yako itakuwa ishapoa kabisa hapo ndio utachanganya,bizari nzima pamoja na pilipili manga pamoja na vitu vyote ulivyokwisha vitayarisha 
  5. Koroga unga ndani ya kibakuli au ute wa yai 
  6. Weka kaki kwa mfungo wa triangle yaani pembe tatu kama kofia na 
  7. weka mchanganyiko wa nyama yako kiasi na uanze kuzifunga sambusa zako na ukifika mwisho hapo ndipo upake unga wako kwa ajili ya kuifunga isifunguke wakati wa kuchoma, pendelea kutumia kaki 2 kwa kila sambusa moja. 
  8. Kuchoma kwake ikiwa unazifanya na kuzichovya hapo hapo mafuta lazima yawe baridi (ninakusudia uweke mafuta na uzitie sambusa kabla hayajapata moto). 
  9. Na ikiwa uliziweka kwenye friji zikaganda basi unatakiwa uzichome kwa mafuta ya moto


KIDOKEZOWatu wengi hupata usumbufu katika kufunga
sambusa, Jaribu mara kwa mara utafanikiwa
tu, ni kiasi cha kuzowesha mikono kufuatisha
ile Triangle tu.
Pia waweza kutupia njegere kiasi zilizopikwa
katika mchanganyiko wako wa nyama ili
kupendezesha zaidi.
Hivyo ndivyo Jinsi ya kupika Sambusa za
nyama.

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.