Manka alienda kanisani kubatizwa alipotoka kwenye maji padri akamwambia “Sasa ewe ni kiumbe kipya,usinywe tena pombe na utaitwa Prudence”. Alipofika nyumbani Prudence akafungua friji akatoa bia ya Tusker akaitumbukiza kwenye maji akasema “Wewe ni kiumbe kipya toka sasa jina lako ni Fanta Orange”...
😂🙆😆😂😂 sipendag ujinga mim
😂🙆😆😂😂 sipendag ujinga mim