Notification texts go here Contact Us Buy Now!

JINSI YA KUPIKA BAJIA ZA SAMAKI

BAJIA ZA SAMAKI 🐟😋

BAJIA ZA SAMAKI

MAHITAJI YA KUPIKA BAJIA ZA SAMAKI:
  • Samaki wa mnofu vipande 2, vikubwa
  • Pilipili manga kijiko cha chai 
  • Maji ya ndimu kiasi 
  • Baking powder vijiko 2 vya chai
  • Unga wa ngano kikombe 1
  • Chumvi kiasi chako.
  • Kitunguu saumu kilichopondwa 1/2 kijiko cha chai
  • Sukari 1/2 kijiko cha chai
  • Kitunguu maji 1  kilichokatwa katwa Majani ya kotmir yalokatwa katwa vijiko 2 vya chakula
  • Hoho zilizokatwa katwa kijiko 1 cha chakula
  • Yai 1
  • Maziwa  ama maji 1/2 kikombe, utatia kdogo kidogo si lazima yatumike yote

NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA BAJIA ZA SAMAKI:

1. Safisha samaki wako vizuri kisha mchemshe kidogo kwa chumvi, ndimu na pilipili manga. 
2. Mnyambue samaki wako kupata chenga chenga unaweza mnyambua kwa mikono, blender au food processor. 
3. Changanya unga, baking powder 
 katika bakuli, ukishachanganya vizuri  tia mahitaji yalobaki isipokuwa maji/maziwa kisha changanya tena vizuri

4. Anza kutia maji ama maziwa taratibu ukiwa wachanganya hadi kupata uzito mzuri wa kuchoteka kwa kijiko au mkono usiwe maji maji sana. 
5. Tia mafuta jikoni juu ya moto wa kiasi, yakipata moto chota mchanganyiko wako anza kuchoma.

Maoni 1

  1. Mimi ni Black Rambo kutoka Grammy, ninafanya kazi katika Kambi ya Grammy, mke wangu alifariki mwaka 6 iliyopita na tangu nimekuwa nikimtunza mwanangu pekee aitwaye Clinton, rafiki yangu wa ushauri wangu wa kumtafuta mke, kwenye upekuzi wangu nilikutana na Jennifer alikuwa na mwanamke wa Kiingereza, Nilimpenda sana kiasi kwamba ningeweza kumpa kila kitu alichokuwa na umri wa miaka 37, baada ya muda fulani wa uchumba nilikuwa na mapenzi sana naye, tulikuwa na kutokuelewana, na alivunja na mimi na ninamsihi arudi mwanangu aitwaye alisema Hapana, kwamba amempata mtu mwingine, na tunapendana sana baada ya siku kadhaa nilisoma makala kuhusu jinsi Dk Lomin anaweza kusaidiana , Niliamua kutoa jaribu, nawasiliana na Dk Lomi kwa msaada aliniambia nini cha kufanya ili kumrudisha mpenzi wangu niliyefanya, alifanya maombi na Jennifer alikuwa nyuma ananipenda na kunithamini zaidi sasa, na tuna wakati mzuri wa maisha yetu, Dk Lomi pia kuandaa baadhi ya mimea ya asili ambayo imenifanya niwe na nguvu …
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.