Notification texts go here Contact Us Buy Now!

Je! Kwanini Watu Wana Piga Punyeto?

 
Je! Kwanini Watu Wana Piga Punyeto?
Je! Kwanini Watu Wana Piga Punyeto?

Mbali na kujisikia vizuri, punyeto ni njia nzuri ya kupunguza *sexual tension* ambayo inaweza kujengeka kwa muda, haswa kwa watu wasio na wenzi au wenzi wao hawapo tayari kufanya mapenzi.

 Punyeto pia ni *ngono salama* kwa watu wanaotaka *kuepukana na ujauzito* na hatari ya *magonjwa ya zinaa* 

Pia punyeto inahitajika wakati mwanaume anapaswa kutoa *sampuli ya shahawa* kwaajili ya kupima au kufanya *sperm donation* .

In case of Sexual dysfunction Punyeto huweza kuamuliwa na Sex therapist/ *Sexologist* ili kumruhusu mtu apate uzoefu wa mwili wake (mara nyingi kwa wanawake) au kuchelewesha orgasm (mara nyingi kwa wanaume).

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.