Notification texts go here Contact Us Buy Now!

USIISHI KWA MAZOEA KWENYE NDOA

USIISHI KWA MAZOEA KWENYE NDOA

Hivi nani alisema na wapi imeandikwa kwamba kiiiiiiila siiiiiikuuuu kwenye ndoa mume ndio wa kuanzisha kuhitaji tendo la ndoa? Hata kama mwanaume ndio mzee wa kiu zisizoisha lakini haimaanishi mke naye huwa hafeel kabisa. Yani mwanaume yeye kila siku ndio alianzishe mpaka sometimes anaona aibu anawaza "sijui huyu mwanamke atanionaje aisee".

 Sasa cha ajabu wanawake wengine hata awe na kiu ya ngamia atajibaraguza na kujibana katu hasemi kitu wala haonyeshi dalili. Kisa cha kujitesa? Kwani ukimwambia kimahaba kuwa unamhitaji, kuna hela kwenye akaunti yako itapungua? Shida ni kwamba kwenye vichen paty wengine mliishia kupewa mahotipoti halafu mambo ya msingi hamkuambiwa. Ungejua jinsi mwanaume akiskia kasauti kakumhitajika kazini anavyopata liupako la kuhamisha milima. Kama wakwako hanaga aibu ya kuliamsha mtag umpe Hi 5 
#ChrisMauki

Maoni 3

  1. Siku ya kichen pat wao walikua wanaangalia zawad tu jambo hili niteso kubwa sana kwenye ndoa yaan nikikaa kimya nikajifanya kukausha hita mwaka utaisha unaulizwa tu ela ya matumizi waiiii na mim nishachoka bana kua ombaomba ila hili jambo ndo linalosababisha wanaume wengi tutoke nje ya ndoa
  2. Ngoja sasa ajue kwamba kuna mtu mwingine utasikia umekosa nini kwangu wanaume hamliziki kumbe huwa anatoa kwa msimu. Wanaume sisi tendo ndio kila kitu
  3. Mpk mume na mke wawe marafiki ndy itatokea lakin Kam sio marafiki .
    Utegemee majibu haya: nimechoka,namalizia mpira hapa nakuja,hujui Leo kazin kulikuwa na tatizo���� inakuwa n mazoea inabid utulie mpk baba aseme
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.