Sasa cha ajabu wanawake wengine hata awe na kiu ya ngamia atajibaraguza na kujibana katu hasemi kitu wala haonyeshi dalili. Kisa cha kujitesa? Kwani ukimwambia kimahaba kuwa unamhitaji, kuna hela kwenye akaunti yako itapungua? Shida ni kwamba kwenye vichen paty wengine mliishia kupewa mahotipoti halafu mambo ya msingi hamkuambiwa. Ungejua jinsi mwanaume akiskia kasauti kakumhitajika kazini anavyopata liupako la kuhamisha milima. Kama wakwako hanaga aibu ya kuliamsha mtag umpe Hi 5
#ChrisMauki