Notification texts go here Contact Us Buy Now!

SUBIRA HUVUTA HERI SEHEMU YA 01

.SUBIRA HUVUTA HERI.

  *Hancy kumbilo*

       Sehem *1*

       0715364116


Aijalishi baba akupendi kufikia hatua hii kubwa juu yako mpenzi wangu mimi sito kuacha kamwe kweni nilisha kuhaidi kwamba nntakupenda daima mpaka mwisho labda ufe au nife mie ndo ue mwisho wetu.


Daaah Asma alicho kifanya mzee wako leo ni too much nikienderea kubaki na wewe anaweza ata akaniua .

Leo kanitoa ngozi namna hii unafikili ata shindwa kuniwekea simu kwenye chakula au kinywaji chochote mpenzi.


Mimi nashangaa sana lakini uenda anataka unioe na si hivi tulivyo jitaidi ulete posa nyumbabi.


Hata kama mama angalia mahusiano ya wenzetu mbona wazazi wao wanajua lakini awako kama mzee wako.

Pia mbona mama ako anajua na afanyi vibweke hivi vya mzee wako bhana.


Kwahiyo ndo unamaanisha nini HASSANI unitaki au vipi?


Sio hivyo asma akuna asie jua kijiji kizima kama nimemkataa kumuoa mtoto wa tajili wa kijiji kisa wewe na bila shaka unajua nnavyo kupenda.


Asante HASSANI wacha niende nyumbani kigiza hiko kinaingia ila mfumilie sana baba yangu mvumilivu ndo mla mbivu.


Basi waliachana wapendanao hao na kila mmoja akielekea kwao kwa njia tofauti.


Wakati hassani akiwa ana majeraha ya kupigwa na baba wa mpenzi wake . Alikua akitembea huku akiwaza juu ya mzee *TOPE* alisikia sauti ya dada mmoja ikiomba msaada maeneo flani *NAKUFAA HUKU JAMANI MSAADA*


alisikia kijana HASSANI lakini kutokana na mawazo yake aliisi labda fikila zake tu nakuanza kuenderea na safali.


Mala alisikia tena ile sauti kwa ufasaha nakujua ni kweli mtu anaomba msaada na si kama alivyo fikilia uwenda ni mawazo.

 

Asma alifika nyumbani nakumuuliza maswali mama ake .


Hivi mama uyu mzee tope mimi ni mwanae wakunizaa kabisa.

 Ushaanza asma na baba ako aya leo kuna mpya gani.?


Mmh uyu mmeo sijui yuko karne ya ngapi leo kamkuta mpenzi wangu kisimani kamsukumiza Hassani ndani ya kisima.


Mmmh asma acha uongo mwanangu kweli ampendi hassani lakini si kwa hatua hiyo maana kisimani angemua au kumpatia majeraha.


Kwahiyo mama mimi nakuongopea ama.


Sijasema muongo ila nashangaa ila una ushahidi kama ni baba ako kweli.


Nna ushahidi mama pia wewe mwenyewe unajua kiasi gani watu wakijiji hiki cha CHANIKA KIGOGO wanavyo mmpenda hassani kasolo baba tu sasa unazani nani kafanya hiko kitendo.


Kweni hassani alimuona?


Hakumuona maana yeye alikua kainama chini akichota maji ghafla akasukumwa na kachunika mkononi.


Mmh mwanangu usimlaumu sana baba ako uwenda sie yeye maana mimi nna wasi wasi juu yenu wewe na mpenzi wako na usikute wasi wasi wangu unaanza kutimia.


Wasi wasi gani mama na wewe kwa kumtetea mmeo hujambo.


Uenda maadui mnao wapya si unajua hassani kakataa kumuoa AISHA kisa wewe uenda kuna watu awkupenda.


Upande wa HASSANI akujali maumivu yake nakuifata ile sauti ili atoe msaada.

 

Alifanya haraka ili awai sehemu anayo isikia hiyo sauti na ajue ni jinsi gani atatoa msaada.


Alifika ajabu kila aki fika kalibu na sauti hiyo ilikua ikisikika kalibu na nyumba ya tajili wa eneo la kijiji hiko pia ilikua ina pungua sauti.


Aliita HASSANI hellow .

Akasikia sauti ya ya mama wa kufikia wa AISHA NI mke wa pili tajili huyo. 


AJABU sauti ilisikika chooni...


Kwa MAMA NA ASMA napo.....  


Mhh mbona kama mama unaanza nifumbua macho mala akaingia mzee tope.


Hamjambo familia yangu.


Mama akadakia atujambo sio sana umesikia taalifa za kifo cha HASSANI mkweo.


Mzee tope akauliza alikufa nini pale KISIMANI.




   ITAENDEREA

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.