VILEJA VYA TANGAWIZI
MAHITAJI YA KUPIKA VILEJA VYA TANGAWIZI
- NGANO VIKOMBE 2
- TANGAWIZI YA UNGA VIJIKO 2 1/4 VYA CHAI
- HILIKI 1/2 KIJIKO CHAI
- KARAFUU 1/2KIJIKO CHAI
- YAI 1
- ASALI 2 KIJIKO CHAI
- NUTMEG 1/2KIJIKO CHAI
- SIAGI 7VIJIKO CHAKULA
- SUKARI GURU 3/4 Vikombe
- SUKARI BROWN 1/4 KIKOMBE
- VANILA 1/2KIJIKO CHAI
- BACKINGSODA 1 1/2 KIJIKO CHAI
- CHUMVI 1 1/2 KIJIKO CHAI
JINSI YA KUPIKA VILEJA VYA TANGAWIZI
- KATIKA BAKULI TIA UNGA,MDALASINI,KARAFUU , TANGAWIZI NACHUMVI ,BACKINGSODA CHANGANYA VIZURI
- CHUKUA BAKULI LINGINE TIA SIAGI NA SUKARI SAGA VIZURI KWA KUTUMIA MASH INE YA KEKI ILI IWE KAMA CREAM, KISHA ONGEZA ASALI,YAI NA VANILLA CHANGANYA TENA KWA DAKIKA 1HADI 2 TIA MCHANGANYIKO WAKO WA UNGA KIDOGO KIDO KATIKA CREAM ,CHANGANYA VIZURI HAKIKISHA ISIWE NA MABONGE.
- CHUKUA ZIP LOCK BAG MIMINA MCHANGANYIKO WAKO KISHA WEKA KWENYE FRIJI KWA MASAA 2 AU WAWEZA WEKA USIKU MZIMA.
- TAYARI KWA KUBACK WASHA OVEN 350f CHUKUA SUKARI GURU TIA KATIKA BAKULI KISHA CHOKA MCHANGA NYIKO WAKO KWAKIJIKO TIA KATIKA BAKULI LA SUKARI NA FANYA VIMIDUARA, KISHA BACK KWA DAKIKA 12HADI 12
- BAADA YA HAPO VILEJA VYAKO VIKO TAYARI KULIWA ILA NIVYEMA UACHE VIPOE.