Notification texts go here Contact Us Buy Now!

WATU 27 WAFARIKI KWA KUNYWESHWA JIK KANISANI

Cara

WATU 27 WAFARIKI KWA KUNYWESHWA JIK KANISANI

  • Watu takriban 27 wamefariki dunia baada ya mchungaji wa kanisa la kilokole la 'AK Spiritual Christian Church' lililopo Limpopo nchini Zambia,
  • kuwanywesha dawa ya kuondoa madoa 'jik wakiwa kanisani.
  • Taarifa kutoka Zambia zilizochapishwa na jarida la Zambia Observer, zinasema kwamba mchungaji Phala aliwaambia waumini wake kuwa jik hiyo inaondoa mapepo, hivyo akaanza kuwanywesha kwa nia ya kuwaombea mapepo yao yaondoke.
  • Licha ya vifo hivyo, pia waumini wengine 18 hali zao si nzuri, na bado wapo hospitali wakipatiwa matibabu.
  • Polisi wa Limpopo wameanza uchunguzi juu ya tukio hilo, huku wakioneshwa kushangazwa kwao, ambapo miongoni mwa waliofariki, wapo wauguzi wa afya na walimu.

WATU 27 WAFARIKI KWA KUNYWESHWA

JIK KANISANI

TOA MAONI YAKO HAPA

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.