JUICE YA TENDE NA MAZIWA.
MAHITAJI YA KUPIKA JUICE YA TENDE NA MAZIWA.
- Maziwa
- Tende
- Karanga unaweza pia kutumia
- almonds(lozi),korosho
JINSI YA KUITENGENEZA JUICE YA TENDE NA MAZIWA.
- Toa tende makokwa
- Weka katika blender pamoja na maziwa au aina ya nuts upendayo
- Saga hadi iwe laini iwe kama uji mzito kiasi
- Weka kwa friji ipate baridi kidogo.
- Then enjoy.