MAHITAJI YA KUPIKA EGG BAJIA |
- 3 Boiled eggs zilizokatwa slices thick kiasi ( uzuri ueke mayai kwa fridge kama 1 hr kabla ku slice ndio yawe firm)
- 1 Kitunguu maji kiliokatwa ndogongogo
- Unga wa dengu
- Chumvi
- Majani ya chauro (optional)
- Majani ya dania
- Mchicha uliokatwa nyembamba ( optional)
- Mafuta ya kupikia
JINSI YA KUPIKA EGG BAJIA
Changanya unga wa dengu na chumvi kiasi.ongeza maji ukoroge to a smooth paste -usiwe mwepesi wala mzito sana.add rest of ingredients isipokua mafuta na mayai.weka mafuta motoni.tia slices za mayai kwa mchanganyiko unga upakike kila mahali.choma moto wa kiasi mpaka ziive.toa na serve na mfano chatni ya maembe au ukwaju.