😋 JINSI YA KUPIKA CHINESE RICE😋
Nimechukua chaza nimewachemsha kama kawaida then Nimeweka mafuta kwnye karai nikaweka kuku nimewakata vipande vdogo vdogo nikatia viungo vya seasoning vitunguu thom tangawizi wanajitoa maji walipoiva nimewatia kwenye chujio niipate supu yke then nikachukua ngisi nikawakaanga na viungo wakajitoa supu nikaichanganya na ile ya mwanzo nimeweka pemben.
Nimetia mafuta kwenye lile lile karai la mwanzo nikatia carrot na njegere nikazikaanga pilpli boga nikaweka chumvi tena kiasi tu then nikachukua ngisi chaza na kuku nikawamimina wote kwnye karai pamoja nikatia soyer souce oyster souce na sweet chili souce nikapiga mayai sita nikayatia kwenye mchangyiko kwa kilo 3 ya mchele ukipenda unatia na pilipili ya kuwasha koroga vichangyike vzr
Mchele wako uchemshe lkn usiive mpaka mwisho umwage maji then ile supu uloiweka ichangnye na wali wako chukua sufuria yko kubwa itie wali wako wenye supu na ule mchanganyiko wako wote changanya pamoja engeza soy souce kidg mpaka chakula chako kichngnyike zvr tyr kwa kuliwa