MAHITAJI YA KUPIKA CARROT RICE
- Mchele vikombe 2,
- carrot 2 kubwa,
- tomato fresh 1,
- ,pilipili boga green na red,
- cumin powder 1 tsp,
- garlic ginger 1 tsp each,
- curry powder 1tsp ,
- garam masala 1 tsp,
- mdalasini kipande 1,
- Mafuta ya kupikia 3 tbsp
- Chumvi
JINSI YA KUPIKA CARROT RICE
- Roweka Mchele kwa nusu saa au lisaa 1,
- Teleka mafuta ya kupikia 3 tbsp, kaanga garlic ginger kidogo, tia chopped pilipili boga kaanga kiasi, tia chopped tomato ,kaanga zilainike kiasi, weka spices zote koroga kidogo tia mchele bila maji ,koroga kama dakika 3 mpaka 5 kwa moto wa kiasi, baada ya dkk 5 tia maji yamoto kiasi ya mchele,tia greated carrots (zigrate nyembamba) add chumvi funika, wacha uchemke uwe wakoroga kidogo unafunika mpaka wali unawiva, na kukauka,
- upunguzie moto ufunike kwa dkka 10 mpaka 15, epua na Enjoy. Unaweza kula na kitooyo chochote
- SHARE NA WENGINE