Notification texts go here Contact Us Buy Now!

HAKUNA ALIYE MKAMILIFU

Mwenye kutaka rafiki asiye kuwa na Dosari, basi ataishi mpweke daima.

Mwenye kutaka Mke au Mume ambaye hana mapungufu, ataishi bila ya kuoa au kuolewa mpaka siku ya kufa kwake.

Mwenye kutaka ndugu asiye kuwa na matatizo, ataishi akimtafuta milele.

Mwenye kutaka mtu wa karibu aliyekamilika, daima ataishi akiukataa udugu.

Tuvumilie matatizo ya wenzetu pamoja na changamoto zao, ili turejeshe hali ya maelewano kati yetu.

Unapotaka kuishi kwa furaha maishani, basi usitafsiri kila kitu unachokiona au kukisikia.

Wala usichunguze sana  kila kitu kilichopo mbele yako.

Wala usichambue kila kitu unachokiona au kukisoma.

Hakika ya wale walioichambua Almasi sana, mwisho wa siku waliikuta ni Mkaa.

Usiwahukumu watu kutokana na mandhari (muonekano wa nje), vyo vyote vile walivyo.

Fahamu ya kuwa pamoja na yote hayo, bado ni wanadamu kama wewe (uhalisia wao).

Tuvumiliane hakuna mkamilifu isipokuwa Mwenyezi Mungu pekee.
*TUYAZNGATIE AYA NA YA MFANO WAKE ILI MAISHA YAWE YA AMAN NA UPENDO KWA KILA MMOJA WETU*


About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.