Notification texts go here Contact Us Buy Now!

VIJUE VYAKULA HATARI KWA MJAMZTO

Vyakula ni katika Jambo zuri mnoo


Lkn vyakula huweza kuleta mattz kutokana na  Matabaka ya mtu na mtu


Mfano sahihi ni Kwa wajawazto vipo vyakula hatushaur kuvpendelea Sana




1: Nyama mbichi


Mjamzto anapokula nyama ambayo haikuiva vzur ni hatar sana


Kwan huweza kumletea fangasi Hatar Kwa mtoto


Hvyo Hakikisha nyama inaivaaa vzuri




2: Samaki wenye Zebaki


Samaki jamii hii ni km Papa na dagaa wakubwa


Jamii hii huwa na madini mengi ya zebaki hvyo kuzaliwa mtoto tahra





3:Pombe


Unywaji wa pombe kipnd cha ujauzto hata km ni kdgoo ni hatar Sana kwani husababsha kuzaliwa mtoto mwnye maradh ya ajabu yatokanayo na pombe





4:Maziwa mabichi


Ukitaka kunywa maziwa hakikisha unayachemsha vzuri


Kwani yakiwa mabchi hutengeneza bacteria hatar na huweza kuharibu Mimba




5: MAINI


Maini yanamadini mengi mno ya chuma


lkn pia vitamin A za kutosha ambazo huweza kuleta madhara Kwa mtoto kikizd




Ujauzto ni Jambo kubwa mno


tuliheshmu Jambo hili✅✅


..........

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.