Notification texts go here Contact Us Buy Now!

UTAMU WA JIRANI SEHEMU YA 07

*UTAMU WA JIRAN EP 07*


imekuwaje?
aliniuliza mama mwenyenyumba kwa kutaka kujua kilichomsibu witi hadi kuwa vile,
sikuwa na ujanja zaidi ya kumueleza kilakitu kilichotoke masaa kadhaa nyuma huku nayeye akizidi kushangazwa na maelezo yangu kuwa witi amepoteza fahamu kutokana na kichapo changu,
itakuwa amezimia aliongea mamamwenyenyumba kisha akaelekea sehemu ambayo nawekaga maji na kuyachota kiasi na kumimina kwenye ndoo iliyokuwa tupu na alivyomaliza akachukua taulo langu na kulilolawanisha kisha akaanza kumfutafuta witi mwilini mwake,
kila alipokuwa anamfutafuta witi na maji yale ya baridi witi alianza kuonyesha unafuu na kuanza kutikisika baadhi ya viungo vyake kama mikono na miguu yake,
alikuwa amezimia huyu inaonekana unashoo ya kibabe”aliongea mama mwenye nyumba huku akinipitisha macho yake kwenye boxer yangu huku akimsaminisha kasuku wange aliyenisaliti kwa kulala
inabidi tumpeleke chumbani kwake”

Ilipoishia….inabidi umbebe na kumpeleka chumbani kwake….endelea…………
Mimi naenda nje kuangalia usalama ukisikia nimeanza kuimba ule mwimbo wa mwanzo mtoe haraka “Mama menyenyumba aliniambia vile kisha akaanza kuuelekea mlango wangu na kutoka nje huku akitoa tabasamu la aina yake”
baada ya mama mwenyenyumba kutoka nje sikutaka kulaza damu nikanyanyuka na kwenda kumbeba witi pale kitandani kisha nikakaa nae pale mlango tayari kusikiliza ishara ya mamamwenyenyumba”
mda ulizidi kusonga bila kuonenakana ishara yoyote ya mama mwenyenyumba hofu ya kuhisi mama mwenyenyumba amenisaliti iliniteka kwa mda huo japo sikutaka kabisa kuamini mawazo ya mama mwenyenyumba amenisaliti,
mmmmh mbona anakawia huyu mama au anataka kuniaibisha nilijiuliza pasipo kupata majibu sahihi ya maswali yangu,
nikiwa bado nipo pale mlangoni nikifikilia nitoke huku nikijisemea moyoni lolote litakalotaka kutokea litokee mara sauti ya nyimbo ile aliyonifahamisha kama ishara ikaanza kupenya masikioni mwangu na kujikuta nikitoa tabasamu pana,
sikutaka kuchelewa nikatoa kichwa changu nje taratibu na kuchungulia nje macho yangu yalishuhudia kumuona mama mwenyenyumba akinipa ishara ya mkono kuwa nifanye haraka kumpeleka witi nami nikatii kwa kutikisa kichwa kisha nikarudi ndani na kumbeba witi ambae nilimlaza kwenye kochi moja la chumbani kwangu wakati huo nilikwisha mvalisha nguo zake na mimi nikivaa pens yangu na vest nyeusi

nilimbeba witi kama mtoto kisha nikaanza kumtoa pale chumbani kwangu kwa harakaharaka hadi chumbani kwake na kumlaza kitandani kwake kisha nikatoka na kwenda chumbani kwangu kwa mwendo wa harakaharaka
huku nikimshuhudia mama mwenyenyumba akinikazia macho yenye ujumbe wa nifanye haraka kuingia chumbani kwangu,
niliingia chumbani kwangu kisha nikajibanza mlangoni kwangu kushuhudia kama witi atanyanyuka au laah kwani wakati nilipokuwa nimembeba alikuwa amefumbua macho na kuniangalia kwa shida”
nikiwa bado nipo pale mlangoni nachungulia chumbani kwa witi kama atatoka nilimshuhudia mama mwenyenyumba akiiweka ndoo yake ya kudekia karibu kabisa na mlango wa witi kisha akaangaza macho yake kama kuna anaemuona au kama kuna mpangaji anatoka nje mda huo” alipohakikisha hakuna mtu aliyekuwa anamuona wala mpangaji aliyekuwa anatoka mda huo harakaharaka akajitoma chumbani kwa witi ”
niliendelea kukaa pale mlangoni kwa muda huku nikiangaza macho yangu kwenye milango ya majirani wenzangu kwani mda huo nilihisi huenda witi atakuwa amezidiwa ndio maana mama mwenyenyumba amechelewa kutoka”
msemo wa subira yavuta heri haukuwa na maana kwangu mda kwani nilihisi labda kutakuwa na tatizo lingine limetokea,
yani kama atakuwa mzma sifanye tena mapenzi mpaka ninapopata kuoa”nilijikuta nikijiapiza moyoni mwangu na kuchukia kufanya mapenzi japo kwa mda huo nilishaanza kunogewa kufanya mapenzi na kusahau kuwa nimeshaionja asali ni vigumu kuacha kwani utamu umeshanoga,
mawazo lukuki yalikitawala kichwa changu kwa mda huo kwani mama mwenye nyumba alizidi kukawia chumbani kwa witi huku ukimya ukizidi sana chumbani mle,
nilihisi kuishiwa nguvu kila sekunde iliyotengeneza dakika hatimae lisali moja likatimia bila mama mwenyenyumba wala witi kutoka nje huku mda ukizidi kuyoyoma,
mapigo ya moyo yalianza kupungua pale nilipomuona mama mwenyenyumba akitoka huku akiwa ameshika ndoo ndogo ya maji na mswaki, macho yangu hayakuishia hapo yakatua kwa witi ambae alionekana kuchoka na mwili wake kutawaliwa na uchovu mkubwa uliojidhihirisha machoni mwangu,
hapo furaha ilinijia kwa kumuona witi akiwa mzima huku shukurani nyingi zikienda kwa mamamwenyenyumaa japo sikujua lengo la msaada wake kwa wakati huo,
kwa uchovu mkubwa niliokuwa nao mda huo kutokana na ile hali ya kujokulala usiku kuchwa nikajikuta nikipitiwa usingizi mzito ambao sikuwai kuupata hapo kabla,
muito wa simu uliendelea kusikika masikioni mwangu japo kwa mbali kiasi
taratibu nikajivuta hadi mezani kiuvivu huku nikijikohoza kusafisha koo langu kisha nikaipokea simu ile na kuipeleka sikioni mwangu bila shuruti,
hallow babe nipo mtaani kwenu hapa nimekuletea zawadi na natarajia nawe utanipa zawadi zaidi ya ile ya jana”aliongea manager kwa madaa huku akijichekeshachekesha simuni,

.Nilikaa kimya kwa mda huku nikifikilia cha kufanya mda huo kwani maneno yale ya manager kuniambia yupo karibu maeneo ninayokaa yalinikata maini na kujikuta nisijue cha kufanya kwa mda huo,
hallow babe mbona kimya au hautaki nije kwako,aliongea manager na kunifanya nitoke katika hali ile ya mawazo iliyoniteka kwa mda huo,
umeniambi upo sehemu gani, nilimuuliza ”
nipo hapa wanapaita kifua wazi sijui alinijibu huku akideka simuni,
aaah poa nakuja, nilimjibu huku nikifata shati yangu na kuivaa,haikuchukua mda nikawa njiani kuelekea kifua wazi ambapo hapakuwa mbali sana na ninapokaa,
wakati nipo njiani naelekea sehemu ambapo manager yupo mawazo kadhaa yakaanza kunijia akilini endapo manager angeng’ang’ania kupajua ninapo kaa ningemjibu vipi,
nikiwa bado nipokwenye lile lindi la mawazo mara simu ikaanza kuita mpigaji ni yeye manager harakaharaka nikaipokea ile simu kisha nikabonyeza kitufe cha kupokelea na kuiweka sikioni ile simu,
babe nimechoka mimi naondoka,ilikuwa sauti ya manager iliyokuwa kwenye mahadhi ya kulalama ikipenya masikioni mwangu hali iliyosabibisha mwili wangu kuongeza spidi kuwahi bila kutaraji,
upo wapi babe, nilimuuliza manager baada ya kufika mahala pale bila kumkuta”
nimeshaondoka wewe si umechelewa”
aaah poa ila siku nyingine usiludie kufanya hivyo,nilimwambia kwa sauti ya kukaripia kidogo”
teh teh teh teh”
umeamua kunicheka sindio,nilihoji kwa hasira za kuigiza elhali moyoni nilihisi maombi yangu yamesaidia kwani sikuwa na mpango wa kuonananae”
hamna nilikuwa nakudanganya kwani hujui kama leo sikukuu ya wajinga,alinijibu manager huku akiendelea kucheka na alipoona kicheko kimemzidi nikakata simu”
kweli mimi ni mjinga nilianza kujikosoa mwenyewe huku nikiludi nyumbani kwa mwendo wa taratibu”
njaa kali iliyonipata nikiwa bado njiani naelekea nyumbani ndiyo iliyonikumbukusha kuwa sikuwa nimetia chochote tangu asubuhi hivyo nikaanza kutembea harakaharaka ili nikachukue pesa niwai mgahawani kabla chakula hakijaisha”
hatua za haraka nilizopiga ziliendelea kulahisisha safari kwa mda huo na kwakuwa nilikuwa na namba za yule dada muuza chakula nikamuagiza aniwekee chakula kwani nilihisi kama ningeenda nyumbani nakuludi bhasi ningekosa chakula mchana huo kwani yule dada alikuwa maarufu sana kwa chakula chake kitamu hali iliyopelekea hadi wanawake wenzie wamchukie kwa chakula chake na sababu kubwa iliyomfanya achukiwe na wanawake wenzie ni chakula chake kilivyo wapagawisha hadi wanaume kadhaa walio kuwa wameoa kwa kukimbilia chakula kile cha kwa mama mery mtanga kama alivyozoeleka mtaani pale”
niliendelea kupiga tambo za uhakika zaidi,haikuchukua mda mrefu nikawa nimefika chumbani kwangu lakini nilishangazwa na hali niliyoikuta chumbani kwangu kwani nilikuta sahani ya udongo ikiwa juu ya bakuli ambayo sikujua inanini ndani yake huku pembeni kukiwa na maji ya baridi yaliyowekwa kwenye jug na kufunikwa kwa juu ili kutunza ubaridi ule wa maji”
maswali kadhaa yakazunguka akilini mwangu juu ya kupata jibu nani aliyeleta chakula chumbani mwangu nilikampigia simu witi kama aliingia kwangu ila ikataa hali iliyoendelea kujaza mtafaluku wa mawazo kichwani mwangu”
mmh sasa ninani nilijiuliza bila kupata jibu na kujikuta nikikaa kwenye kochi huku mawazo yakinipeleka mbali kuwa yawezekana ni jini aliyefanya yale yote kwani hakukuwa na mtu mwingine zaidi ya witi aliyeweza kuingia ndani na kama witi mbona amekataa au nae kaniona mjinga kama manager nilijiuliza na kujikuta nikitoa tabasamu lisilo nipa majibu sahihi”
nikiwa bado nipo pale kwenye kochi nikiwaza mara mlango wangu ukafunguliwa na mama mwenyenyumba akajitoma ndani bila uoga huku usoni mwake akitoa tabasamu la haja”
umeshiba,aliniuliza baada ya kuniona nimebaki nikiduwaa”
mamamwenyenyumba alipitiliza hadi katika sahani na kufunua ile ya juu kisha akaitoa juu ya ile bakuli na kukuta mapaja mawili ya kuku yaliyonona yakiniangalia huku yakionekana kunivutia”
karibu tule baba chanja”aliongea mama yule kwa sauti ya puani yenye kubembeleza iliyonitoa katika mawazo yale”
hiki chakula umeleta wewe”
ndio mmewangu”alinijibu huku akilegeza macho yake
mbona huku nitaarifu”nilihoji
bwana mbona maswali mengi wewe njoo ule baba watoto,aliongea mama yule ambae alionekana mkubwa kiasi kwangu kwa sauti ya puani”
baada ya kuniona nimekaa bila kufanya lolote mama yule asiye na haya akaanza kuninawisha na alipomaliza akaanza kunilisha hadi pale chakula kilipoisha”
ahsante mama kwa kunijali mpangaji wako nahisi unataka kupandisha kodi kama unatoa hadi huduma ya chakula tena kwa kumlisha mpangaji “nilimwambia mama mwenye nyumba kwa sauti ya utani,
usijali handsome boy”alinijibu huku akinisifia na kuanza kuvua nguo yake ya juu akisingizia joto kaki hali iliyoletamtafaruku ndani ya boxer yangu..

ITAENDELEA..

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.