Notification texts go here Contact Us Buy Now!

Nimempa kashindwa mwenyewe Sehemu ya 02

Nimempa kashindwa mwenyewe

Ep2

Hakuwa na haha ya kuzifuata.. Songa nayo
.... Yaan inasikitisha sana kijana mzuri ana vijisent vyake lakini ndio hivyo haha kitu mtalimbo umelele doro, alisema sikumoja mdada fulani aliekuwa anaitwa Mwanahamisi aliekuwa na mashoga zake katika saluni ya kutengeneza nywele za kina dada pamoja na kupamba ma bi,  harusi ikimlikiwa na mmoja wapo katika kundi la mashostito hao aliyeitwa Recho, siyo siri mvula anavutia sana  yaani angekuwa rijali cyo siri angetubadilisha kama mashati, alidakia msichana mwingine aliyeitwa Anisa..  Hivi mna uhakika kama jogoo lake halipandi mtungii au hua mnaongea tuu?   aliuliza Recho.. Hee, wee vipi kakupa rushwa nin? Hivi kusoma hujui hata picha huoni?  Alisema fatiha wote wakacheka kicheko cha umbea.. Heheheheee... halooooo... Mwanaume mtalimbo babu tena ule unafanya kazi.....
.... Lakini labda kaamu kujitunza mpaka atakapo oa kwan kuna ubaya gani jamani?  Alisema mwingine aliyeitwa Amina ambae alikuwa ameenda kuseti nywele na muda huo alikuwa ndani ya draya.. Aaa wap yee mwanamke ndio atunze bikra?  Hao wanawake wenyewe sikuhizi wanaolewa watu wakiwa wamesha pita zamani.. kwanza bikra ishapitwa na wakati babuee! alisema tena Fatiha wote wakaangua kicheko tena.. Heheheee... halooooo.... Mwanaume bikra babu kwa wanawake imepitwa na wakatiii... Hivi mim  naomba kuuliza atakama ameamua kutunza bikra yake mpaka atakapo ao sasa anasuburi nini kuoa wakati umri usha enda  na kama ni kazi anayo yakumuingizia ela ya kutumia na kusaza. "Nashangaa,  mimi kaka yangu kaoa akiwa na umri wa miaka 19 na sas ana bonge la toto la kiume tena anafanana nalo kishenzi  na huo ndio urijali bwana, sas yeye kama anataka akatolewe bikra na mkewe si aoe tuone! alisema Mwanahamisi.. "Nashangaa mtu mvi zinaanza mindevu kibao hajaoa sasa kama si mtalimbo kulala doro ni kitu gani?  Alijibu Fatma ambae alikuwa ni pacha wa Fatiha na wote walicheka tena...
..... Burudani ya umbea ya kina dada wale iliendelea mpaka Amina alipomaliza na kutoka pale saloon na kwenda zake  kama ilivyo kawaida ya wanawake wa uswazi alipotoka pale hakujali kama mumewe amesha rudi au anakaribia kurudi alichofanya ni kunyoosha njia hadi kwa dada yake Jalala, bi Mwajuma.. Alipo fika alibishahodi kwa Bahati akakuta Mwajuma yupo peke yake,... bila kupoteza muda akaanza kumwaga umbea wake alio uokota saloon "Mwenzangu nimekuja maramoja hata sikai sana pamoja na kwamba harujazoeana sana lakini kunajambo nimelisikia limeniuma sana.. "Enhee jambo gani hilo lililo kutuma maana unanitishana nina uhakika linahusiana na mim  "Mwenzangu lina kuhusu au halikuhu jambo lenyewe ni kuhusu kaka yako Jalala.. ❤❤
Unataka kujua kaka kafanyaje usikose Ep3.... in shot  ni story nzuri yajayo Yana furahisha....

Maoni 1

  1. Hadithi nzuri
Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.