Notification texts go here Contact Us Buy Now!

BIKRA YANGU HAKI YA BABU SEHEMU YA 29

___BIKRA YANGU HAKI YA BABU___
                  (Love Story......... Part 29)

"MTUNZI:Geofrey Mustafa,©Jafa: mkali mpya"
                  (WhatsApp: 0713024247)

©Jafa
TULIPOISHIA.....⏪⏪
Shangazi; " Weee Recho nipokelee iyo simu? "
Daah! Recho alipoona Shangazi ameamka alichukia sana mpaka Sam akagundua kuwa Recho kachukia, basi naye stimu zote zikapotea huku mboo yake ikaanza kusinyaa taratibu.
 Basi hakutaka kabisa ata kushuka kwenda kula nyama akatia gia akakanyaga mafuta akaendeleza safari yao, Recho hakutaka kabisa kupokea ile simu mpaka Shangazi akaamua kupokea yeye mwenyewe:
Shangazi; "Hallo John ujambo Baba"
Simu; "Sijambo shangazi, mko wapi saizi?"
Shangazi; "Subiri nimpe simu rafiki yako"
Basi Shangazi akamwambia Recho aende kukaa nyuma ili yeye aweze kudhungumza na John na Sam kwa urahisi zaidi, hapo Sam ndipo alipoona Shangazi analeta usenge tena sio kidogo. Basi akasimamsha gari Recho akaenda siti ya nyuma huku Shangazi akienda mbele kukaa na Sam Recho alikuwa kanuna balaa.. Basi akampigia simu John wakaongea na rafiki yake Sam akamwambia wapo morogoro mjini kwaiyo saa yoyote watakuwa dar, basi John akasema yeye yupo zake kimala Terminal anawasubiri hapo kisha simu ikakatika......!!!

                      ENDELEA KUSOMA ⏩⏩
Gari ilikuwa speed Sana Sam alikuwa akiangalia mbele tu muda wote japo kuna wakati shangazi alikuwa akimuongelesha lakini Sam akumpa ushirikiano wowote zaidi alitikisa kichwa tu au kunguna, kwa kufupi hakupenda kukaa na jimama kama lile mbele alafu binti mrembo kabisa akae nyuma peke yake kwaiyo Sam alikanyaga mafuta kinyama ili afike haraka mjini hakujali Torch ya Traffic wala kupata ajali.
Picha ya umbo na sauti ya Recho vilikuwa ndio habari ya mjini kwenye ubongo wa Sam, alichokuwa anajua yeye ni kwamba Recho ndio kwanza anatoka kijijini na anaenda mjini kwa John.. Sasa yeye Sam alitaka ndio aanze kumpokea mjini..!!
Walipofika Chalinze Recho akasema anajisikia njaa, Shangazi yake akamwambia avumilie wafike mjini lakini Sam akadakia akijifanya kumwambia Shangazi asijali amwache ale tu Kama ana hitaji kula kitu.
Wakati Sam akiongea maneno ayo alikuwa akitelemka kwenye gari akamfuata Recho alipokuwa amesimama akinunua cake, akamwambia aache kununua vitu vya ajabu ajabu..! Kisha akamshika mkono wakaongozana mpaka kwenye moja ya banda la chips ambalo lilikuwa limesheeni nyama za kuku, Samaki vibua na nyama choma za ng'ombe.
Walipofika Sam akamwambia Recho ajisevie chochote apendacho basi Recho akachukua chips kuku mbili na Sprite mbili kisha chips moja akampelekea Shangazi yake aliyekuwa amebakia pale kwenye gari, baada ya hapo safari ikaendelea. Lakini walipofika maeneo ya kibamba wakielekea mbezi stand mala Recho akaanza kutapika ni baada tu yakula ile kuku, ikabidi Shangazi yake aludi nyuma ili ajue tatizo nini Shangazi alipoona mambo yamebadilika ghafla wakapanga leo Recho hasiende Kwa John kwanza ili wajue tatizo nini.

Dakika kadhaa mbele tayari walikuwa wamefika Kimala Recho akatoka kwenye gari akamlukia John wake bila ata aibu maana alikuwa ni saa kumi kasoro jioni pale kimala watu kibao kila mtu yupo pale, Basi wakakumbatiana Kama nusu saa ivi huku Recho akilia basi kitendo cha Recho kuanza kububujikwa na machozi huku akilia kwa kwikwi kilimuuma Sam akapiga honi za gari yake kuashilia kuwa waondoke..! John alikuwa aelewi kinacho endelea ikabidi amuulize Recho wakiwa bado pamoja:
John; "Recho inamaana safari bado Inaendelea.. Maana sielewi elewi...??"
Recho; "Jamani John Mme wangu kwaiyo hutaki..inamaana unataka tuishie hapa"
Baada ya Recho kumjibu ivyo John akahisi Kama kapigwa short ya umeme, kwakuwa walikuwa wamekumbatiana Recho aligundua hali alionayo John ikabidi amwambie:
Recho; "Jamani John Mme wangu inamaana hutaki tuondoke hapa."
John; "Kuondoka kivipi mpenzi wangu Recho, Mimi sielewi bado yani nipo njia panda.!"
Recho; "Kuondoka kwenda kwako Mme wangu, John nakupenda wewe ndio mwanaume pekee unayeweza kuishi na Mimi kwa moyo mmoja!!"
John; "Nakupenda Recho, huwezi amini tangu asubuhi nipo hapa nakusubiri wewe"
Baada ya John  kumaliza kumaliza kuongea tu Recho akaenda moja Kwa moja mpaka kwa Sam kisha akamuomba amtolee bag lake kwenye nbuti la gari, Shangazi kuona ivyo akapaniki kwanini Recho  afanye ivyo:
Shangazi: "Wee Sam unaenda wapi.. Njoo uwashe gari tuondoke bwana"
Sam; "Ngoja nimpe bag lake...!!
Baada ya Shangazi kuona Recho kakomaa kubaki na John ikabidi atoke kwenye gari akiwa kavimba balaa kisha akamwambia Recho kwa sauti ya ukali huku akimsukuma kichwa kwa kidole kuashilia kamzalau:
Shangazi; " Umefika mjini unaanza kujiona mjanja, mbona kijijini ulikwa mpole...?"
Recho; "Kwani Shangazi tatizo lako nini sasa..?"
Shangazi; "Hee! Weee kahaba unaniulizaje, yani wewe wakuniambiya ivyo Mimi.. Sasa nasema ingia kwenye gari twende nyumbani alafu uyo mtu wako atakufuata huko uko!"
Baada ya Shangazi kusema ivyo hakusubiri Recho ajibu, akamshika mkono nakuanza kumvuta ili aingie kwenye gari. Naye Recho hakutulia maana alimsukuma kisha akamwambia kwa hasira:
Recho; "Weee! Tena samahani Sana Shangazi yangu nakuheshimu Kama Mama mzazi lakini unakoelekea ni pabaya tena samahani Sana.!"
Baada ya Recho kumjibu ivyo Shangazi yake, ndipo ghafla Shangazi yake akamtia kofi usoni mpaka bahadhi ya raia waliokuwa karibu wakageuka na wale walio shuudia wakashikwa na butwaa wakijiuliza kwanini anamuadhibu adharani binti mkubwa kama yule adharani namna hii alafu tena barabarani Aisee.

Kitendo kile cha Shangazi kumpiga Kofi Recho pale barabarani kilimboa  kila mmoja pale maana Sam alipoona hali ile akasema neno moja tu " Jamani kuweni na staha basi" Sam alipo ongea ivyo akayatoa mabegi yao yote kisha akamuuliza John Kama ana usafiri wowote pale, John akamwambia amekuja na bajaji Basi Sam akawasha gari yake na kuondoka bila ata kuanga mtu yoyote pale.
Recho muda uo alikuwa kajiziba uso wake na kitambaa chake cha jasho huku akitoa vimachozi vya hasira na ghazabu kibao.
Basi kwakuwa John analijua begi la Recho akaenda moja Kwa moja akalichukua akaliweka kwenye ile bajaji, akamfuata Recho akamshika begani akawa anamkokota huku akimpa maneno ya hapa na pale ili Recho apunguze hasira maana alikuwa na hasira mpaka macho yake mazuri yakawa mekundu.
John akawasha bajaji yake akaitoa pale kwa mbwembwe huku Shangazi akibakiwa na vumbi tu huku raia waliyokuwa wakilifuatilia kwa umakini lile tukio wakiendelea kusubiri hatima ya Shangazi maana kaachwa na kila mmoja.

Lakini ghafla wakashangaa kuona......!!!

              INAENDELEA BADO

Mtunzi: Geofrey Mustafa, ©Jafa, mkali mpya.
Share, comment, like, twende sawa.

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

إرسال تعليق

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.