Notification texts go here Contact Us Buy Now!
Machapisho

ZAMBIA; MWANAMKE AMGEUZA MUMEWE KUWA JOKA

#ZAMBIA; MWANAMKE AMGEUZA MUMEWE KUWA JOKA.

Mwanamke mmoja nchini Zambia amemgeuza mumewe kua joka kubwa baada ya kukosea kumpa dawa ya kumfanya mumewe ampende yeye tu.
 Mwanamke huyo alietaka mumewe awe mtu wa kushinda kunyambani tu kwajili ya kumfanyia mapenzi alienda kwa mganga wa kienyeji akapewa dawa iitwayo "ZUNGULILA KONDE" huko kwao hapa kwetu bongo tuseme (Limbwata)....
Alipofika nyumbani akafanya kama alivyoelekezwa na mganga lakini akashangaa baada ya kumpa dawa hiyo mumewe ghafla akaanza kugeuka joka...
 Sasa anatafuta namna ya kumrejesha mumewe katika Hali ya kawaida lakini inamuwia vigumu kwa sababu mganga wake yuko Malawi na madereva wanakataa kumpakia mama huyo pamoja na joka lake kwenye usafiri wa uma.
 #WITO: WANAWAKE MKITAKA WANAUME WAWAPENDE MSIWAROGE WAHESHIMUNI TU ITAWEZEKANA.
#TAZAMA_PICHA_HAPO_CHINI

About the Author

Hello,I am Web Designer and Expert facebooktwitteryoutubeinstagramexternal-link

Chapisha Maoni

Cookie Consent
We serve cookies on this site to analyze traffic, remember your preferences, and optimize your experience.
Oops!
It seems there is something wrong with your internet connection. Please connect to the internet and start browsing again.
AdBlock Detected!
We have detected that you are using adblocking plugin in your browser.
The revenue we earn by the advertisements is used to manage this website, we request you to whitelist our website in your adblocking plugin.
Site is Blocked
Sorry! This site is not available in your country.