المشاركات
Mapishi ya sponge cake (mkate wa mayai)
Karibuni sponge cake (mkate wa mayai)..mayai 12 glass mbili za unga sukari glass na robo iliki 6 vanilla nusu kijiko..haina baking powder haona mafuta wala margarine ..ila margarine upake sufuria tuuu ...piga mayai na sukari iliki vanila mpk uone mayai imekuwa povu zito saana na nyeupe imepanda mpk juu watumia mashine ..then unga chuja huku ukitia kwenye mixture ile ukoroge sasa na mwiko au spectula ..na uwe na haraka kuchanganya hapo ..na oven uwe ushaasha kitambo na moto wa oven usiwe mkali hautaki moto mkali kama cake zengine weka 180..ukisha tia kwa oven set moto wa chini ule juu ondowa kama 10min kisha weka moto juu chini ..zabibu ukiweka zi coat kwa unga upange juu utabake kama 25min then ucheki kwan kijiti kama tayari usiache upepo ikaingia sana ikiwa cake itakuwa haijaiva husababisha kurudi chini..na ukaharibu ..nb ukipenda tia corn flour kijiko cha chai pale kwenye unga husaidia cakes kuwa moisture...